Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Jamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa.
Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.😂😂😂
Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.
Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko