Zahera Mwinyi awafanya TP Mazembe washukie Uwanja wa ndege wa Mbeya badala ya Dsm

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Jamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa.

Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.😂😂😂

Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.

Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko
 
Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.

Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko
Wewe chizi unaroroma sana like manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa.

Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.😂😂😂

Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.

Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko

Jiografia nadhani ulipata alama ya chini sana...Hao TP Mazembe wametoka Kinshasa au Lubumbashi?? Na kama ni Lubumbashi unadhani huo mji uko wapi??? Je, huo mji uko karibu na Dar es Salaam au Mbeya??
 
Yawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.

Kama wameshuka mbeya ,wajiandae kupata kipigo cha mbwa koko
 
Yawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah...tatizo lililopo ni kuwa kwa maelezo yako ni dhahiri haujawahi kuongoza chochote kwenye sekta ya michezo na hasa soka...mimi nimeongoza mpira mpaka kwenye ngazi ya kitaifa...hapo ndipo lilipo tatizo...Inaelekea hujui masuala ya gharama katika kusafirisha timu na pia inaelekea hujui katika masuala ya saikolojia ya michezo...hujui wachezaji wanachokaje kimwili wanaposafiri umbali mrefu kwa ndege...kutoka Lubumbashi kwenda kinshasa halafu Nairobi halafu Dar es Salaam...na route ya Lubumbashi (pengine kwa ndege maalum hadi Mbeya) na kuchukua basi (au hata ndege ) hadi dar es salaam...Acha analysis za kishabiki...jikite kwenye objective analysis.....Na kwa nyongeza tu inaelekea hujui route ya Lubumbashi -Kinashasa-Nairobi-Dar es Salaam unatumia saa ngapi kwa ndege---yaani hujui unakaa saa ngapi pale kinshasa kupata connection ya Nairobi..na halafu hujui pale Nairobi Airport utakaa muda gani kusubiri connection ya Dar es Salaam..na kama kwa route hiyo na kwa kuzingatia connections hizo utaweza kuwahi kufika Dar kwa wakati na kufanya mazoezi na kuzoea hali ya hewa ya Dar...Lakini pengine hufahamu kuwa Lubumbashi hadi Mbeya ni muda mfupi kabisa na gharama nafuu ukiwa na ndege maalum...yaaani unafika Mbeya na kuchukua luxury basi hadi dar es salaam..basi la watu 55 wanapanda watu 30 tu na kujinafasi ndani ya basi hadi Dar es slaam...hakuna uchovu hapo ...These are just assumptions..sina hakika kama wamechukua basi kutoka Mbeya to Dar...
 
Dah...tatizo lililopo ni kuwa kwa maelezo yako ni dhahiri haujawahi kuongoza chochote kwenye sekta ya michezo na hasa soka...mimi nimeongoza mpira mpaka kwenye ngazi ya kitaifa...hapo ndipo lilipo tatizo...Inaelekea hujui masuala ya gharama katika kusafirisha timu na pia inaelekea hujui katika masuala ya saikolojia ya michezo...hujui wachezaji wanachokaje kimwili wanaposafiri umbali mrefu kwa ndege...kutoka Lubumbashi kwenda kinshasa halafu Nairobi halafu Dar es Salaam...na route ya Lubumbashi (pengine kwa ndege maalum hadi Mbeya) na kuchukua basi (au hata ndege ) hadi dar es salaam...Acha analysis za kishabiki...jikite kwenye objective analysis...
Walikuwa na ndege binafsi nairobi wafuate nini?
 
Dah...tatizo lililopo ni kuwa kwa maelezo yako ni dhahiri haujawahi kuongoza chochote kwenye sekta ya michezo na hasa soka...mimi nimeongoza mpira mpaka kwenye ngazi ya kitaifa...hapo ndipo lilipo tatizo...Inaelekea hujui masuala ya gharama katika kusafirisha timu na pia inaelekea hujui katika masuala ya saikolojia ya michezo...hujui wachezaji wanachokaje kimwili wanaposafiri umbali mrefu kwa ndege...kutoka Lubumbashi kwenda kinshasa halafu Nairobi halafu Dar es Salaam...na route ya Lubumbashi (pengine kwa ndege maalum hadi Mbeya) na kuchukua basi (au hata ndege ) hadi dar es salaam...Acha analysis za kishabiki...jikite kwenye objective analysis.....Na kwa nyongeza tu inaelekea hujui route ya Lubumbashi -Kinashasa-Nairobi-Dar es Salaam unatumia saa ngapi kwa ndege---yaani hujui unakaa saa ngapi pale kinshasa kupata connection ya Nairobi..na halafu hujui pale Nairobi Airport utakaa muda gani kusubiri connection ya Dar es Salaam..na kama kwa route hiyo na kwa kuzingatia connections hizo utaweza kuwahi kufika Dar kwa wakati na kufanya mazoezi na kuzoea hali ya hewa ya Dar...Lakini pengine hufahamu kuwa Lubumbashi hadi Mbeya ni muda mfupi kabisa na gharama nafuu ukiwa na ndege maalum...yaaani unafika Mbeya na kuchukua luxury basi hadi dar es salaam..basi la watu 55 wanapanda watu 30 tu na kujinafasi ndani ya basi hadi Dar es slaam...hakuna uchovu hapo ...These are just assumptions..sina hakika kama wamechukua basi kutoka Mbeya to Dar...

Tp mazembe wana ndege binafsi, sasa hizo route zote umewawekea za nini😳, by the way mbeya ni kituo tu, watakuja na ndege yao hadi dar.
 
Yaani kwenye mitandao na mitaani watu wanaaminishwa kila kitu kuhusu Zahera...mara amefanya hivi mara amefanya kile...ni majungu mtindo mmoja ambayo hayana mashiko wala mipaka...minong'ono isiyo na tija...
nashangaa story za mtaani watu wanazibeba moja kwa moja..
 
Sawa...niliweka hizo route kwa maana kuwa pengine
Tp mazembe wana ndege binafsi, sasa hizo route zote umewawekea za nini😳, by the way mbeya ni kituo tu, watakuja na ndege yao hadi dar.

Sawa ...hizo route ni za commercial flights...sasa baadhi 'walitaka' watue Dar na siyo Mbeya..hawajui kuwa mbeya na lubumbashi ni karibu ukiwa na ndege maalum
 
nashangaa story za mtaani watu wanazibeba moja kwa moja.

.

Yaani sisi Watanzania ni watu wa ajabu kabisa...tunapenda minong'ono sana...Eti Zahera amewashauri TP Mazembe watue Mbeya baadala ya Dar es Salaam...Yaani watu hawajui hata jiografia ya nchi zetu ikoje...hawajui kuwa Mbeya na Lubumbashi ni karibu...na kwamba ukiwa na ndege maalum ni nafuu...watu wa ajabu sana...wanaamini each and everything...mijadala ya msingi wanaiacha...Bado nina kumbukumbu za miaka ile ya nyuma ilipokuja habari kuwa eti huko Buguruni kuna nyoka kwenye nyumba fulani ana vichwa saba...watu wakawa wanakwenda Buguruni kwa lengo la kumuona nyoka huyo na wala hawajui ni nyumba ipi yupo huyo nyoka wa ajabu......
 
Pambaneni na hali zenu msianze kutafuta mbuzi wa kafara.
 
Haina shida tena wangeshukia zanziba wakaja kwa boti Kipigo kipo palepale tu hata wangeshuka kwa ungo
 
Yawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika watasafirishwa kwa bus? Watu wamekùja na ndege yao alafu wasafiri kwa bus kutoka Mbeya-Dar inaingia akilini hiyo?

Mbumbumbu hamtobadilika kamwe
 
Back
Top Bottom