Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wewe chizi unaroroma sana like manaraJamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa.
Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.
Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko
Jamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa.
Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.😂😂😂
Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.
Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko
Yawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.Jiografia nadhani ulipata alama ya chini sana...Hao TP Mazembe wametoka Kinshasa au Lubumbashi?? Na kama ni Lubumbashi unadhani huo mji uko wapi??? Je, huo mji uko karibu na Dar es Salaam au Mbeya??
Kama wameshuka mbeya ,wajiandae kupata kipigo cha mbwa kokoYawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa na ndege binafsi nairobi wafuate nini?Dah...tatizo lililopo ni kuwa kwa maelezo yako ni dhahiri haujawahi kuongoza chochote kwenye sekta ya michezo na hasa soka...mimi nimeongoza mpira mpaka kwenye ngazi ya kitaifa...hapo ndipo lilipo tatizo...Inaelekea hujui masuala ya gharama katika kusafirisha timu na pia inaelekea hujui katika masuala ya saikolojia ya michezo...hujui wachezaji wanachokaje kimwili wanaposafiri umbali mrefu kwa ndege...kutoka Lubumbashi kwenda kinshasa halafu Nairobi halafu Dar es Salaam...na route ya Lubumbashi (pengine kwa ndege maalum hadi Mbeya) na kuchukua basi (au hata ndege ) hadi dar es salaam...Acha analysis za kishabiki...jikite kwenye objective analysis...
Dah...tatizo lililopo ni kuwa kwa maelezo yako ni dhahiri haujawahi kuongoza chochote kwenye sekta ya michezo na hasa soka...mimi nimeongoza mpira mpaka kwenye ngazi ya kitaifa...hapo ndipo lilipo tatizo...Inaelekea hujui masuala ya gharama katika kusafirisha timu na pia inaelekea hujui katika masuala ya saikolojia ya michezo...hujui wachezaji wanachokaje kimwili wanaposafiri umbali mrefu kwa ndege...kutoka Lubumbashi kwenda kinshasa halafu Nairobi halafu Dar es Salaam...na route ya Lubumbashi (pengine kwa ndege maalum hadi Mbeya) na kuchukua basi (au hata ndege ) hadi dar es salaam...Acha analysis za kishabiki...jikite kwenye objective analysis.....Na kwa nyongeza tu inaelekea hujui route ya Lubumbashi -Kinashasa-Nairobi-Dar es Salaam unatumia saa ngapi kwa ndege---yaani hujui unakaa saa ngapi pale kinshasa kupata connection ya Nairobi..na halafu hujui pale Nairobi Airport utakaa muda gani kusubiri connection ya Dar es Salaam..na kama kwa route hiyo na kwa kuzingatia connections hizo utaweza kuwahi kufika Dar kwa wakati na kufanya mazoezi na kuzoea hali ya hewa ya Dar...Lakini pengine hufahamu kuwa Lubumbashi hadi Mbeya ni muda mfupi kabisa na gharama nafuu ukiwa na ndege maalum...yaaani unafika Mbeya na kuchukua luxury basi hadi dar es salaam..basi la watu 55 wanapanda watu 30 tu na kujinafasi ndani ya basi hadi Dar es slaam...hakuna uchovu hapo ...These are just assumptions..sina hakika kama wamechukua basi kutoka Mbeya to Dar...
Write your reply...yeye zahera ni nani mpaka awashauri azam?? za kuambiwa changanya na zako
nashangaa story za mtaani watu wanazibeba moja kwa moja..Yaani kwenye mitandao na mitaani watu wanaaminishwa kila kitu kuhusu Zahera...mara amefanya hivi mara amefanya kile...ni majungu mtindo mmoja ambayo hayana mashiko wala mipaka...minong'ono isiyo na tija...
Tp mazembe wana ndege binafsi, sasa hizo route zote umewawekea za nini😳, by the way mbeya ni kituo tu, watakuja na ndege yao hadi dar.
nashangaa story za mtaani watu wanazibeba moja kwa moja.
.
Una uhakika watasafirishwa kwa bus? Watu wamekùja na ndege yao alafu wasafiri kwa bus kutoka Mbeya-Dar inaingia akilini hiyo?Yawezekana kijiografia uko sahihi ila kisayansi ya mpira hauko sahihi, tukiongea kisoka, sio ushabiki maandazi, mambo haya ni huku bara letu giza tu. Haiwezekani uishushe timu umbali wa zaidi ya kilometa 800 huku halafu usafirishe wachezaji na basi kilomita kadhaa hizo wakati kulikuwa na uwezekano wa wa kushushia timu within 0 km.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manara kawa haribu akili hao misukule wake yaani yamekuwa kama mazuzuYaani kwenye mitandao na mitaani watu wanaaminishwa kila kitu kuhusu Zahera...mara amefanya hivi mara amefanya kile...ni majungu mtindo mmoja ambayo hayana mashiko wala mipaka...minong'ono isiyo na tija...