Zahera Mwinyi awafanya TP Mazembe washukie Uwanja wa ndege wa Mbeya badala ya Dsm


Mbumbumbu buana
 
Ndo mijinga hii inapanga ratiba na viporo 10+
 
Uzi wenyewe tu wa kishabiki maandaži na wewe ukačangia kwa kishabiki maandazi sasa mimi nitawekaje pembeni? Hivi wewē unaamini kabisa kuwa kushukia kwao mbeya ni kukwepa juju?
 

Ok...katika mjadala ni rahisi kwa baadhi yetu kudandia hoja nyingine kiushabiki...ni rahisi mno...
 

Ohoo...Inawezekana uko sahihi kwa maelezo yako...
 
Km 800 ? Kwani anga imekuwa na milima na mabonde kama ardhi?
Ndege binafsi shehee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hatupigi hatua

Very poor justification
 
Toka kagere awaingizie kichwa basi mmekuwa tu watu wa kugongwa gongwa kwa vijicent kidogo tu... Kagere huyoooooo😁😁😁😁😁
 


Ayaaaaaqa,basi washafungwa,awashauri pia wasikubali kucheza kwa mchina,waende kirumba
 
Yaani kwenye mitandao na mitaani watu wanaaminishwa kila kitu kuhusu Zahera...mara amefanya hivi mara amefanya kile...ni majungu mtindo mmoja ambayo hayana mashiko wala mipaka...minong'ono isiyo na tija...
Ni kama vile wanavyomlisha maneno mzee Mugabe...
 
Kama ulikua unampinga Aden Rage kuwaita Mikia Mbumbumbu pitia vizuri huu uzi.
 
Uzi wenyewe tu wa kishabiki maandaži na wewe ukačangia kwa kishabiki maandazi sasa mimi nitawekaje pembeni? Hivi wewē unaamini kabisa kuwa kushukia kwao mbeya ni kukwepa juju?
Sio lazima sisi tukomenti kishabiki maandazi, Naona ww umeshindwa kunielewa, sawa hawajakwepa juju kama kweli wameshukia mbeya kisayansi ya soka si vizuri yaani ukashushe timu kilomita 800 huko halafu uisafirishe kwa basi, wakati kuna uwezekano wa kuishusha 0 km(ndani ya eneo mvhezo utakapopigiwa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani kuwa watapanda bus?
 

tp mazembe wametwaa taji la champions league mara 5.. sawa sawa na barcelona.. so they know what they are doing... they have experience
 
hiyo route ya Lubumbashi-Kinshasa-Nairobi-Dar umeitoa wapi?,Timu inatoka Lubumbashi kuja Dar inafuata nini tena Kinshasa?,kama hoja yako ili base kwenye usafiri wa ndege wa Kenya airways bado route itakuwa ni Lubumbashi-Nairobi-Dar es salaam ( kumbuka Kenya airways wana ndege ya kila siku kutoka Nairobi mpaka Lubumbashi na kurudi Nairobi. Lakini TP Mazembe wamekuja na Private jet ambayo wangeweza pia kuja nayo moja kwa moja kutoka Lubumbashi mpaka Dar (safari hiyo sio ndefu sana kiasi cha kusema wachezaji wanachoka sana na safari).Kwa nini waliamua kufupisha safari yao kwa kushukia Mbeya then baadae wakaendelea na safari ya Dar wao wenyewe ndo wanajua.
 
Yaani kwenye mitandao na mitaani watu wanaaminishwa kila kitu kuhusu Zahera...mara amefanya hivi mara amefanya kile...ni majungu mtindo mmoja ambayo hayana mashiko wala mipaka...minong'ono isiyo na tija...

Huyu Zahera naye awe anajiuliza, katika makocha wote waliopo TPL kwa nini yeye ndio awe anahusiswa na vitu vya namna hii? Makocha wangapi wamepita Jangwani bila issue kama hizi? Ajitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…