Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseee !!Anavizia nafasi ya Mayanja pale KMC
😆😆😆 Family KikutaMkuu Ongeza na defao naye
Inaonekana alikutendea vibaya nyumambona Mbowe hajafilisiwa na mashangingi wa magomeni?
KMC ndo wanataka garasa?Zahera anavizia ajira KMC
nje ya mada !mbona Mbowe hajafilisiwa na mashangingi wa magomeni?
Anaongea ongea sana hata alipokuwa kocha yanga mimi nilijua hammna kitu ''too much talking without proper actions on the pitch''Shida ya zahera mdomo wake haufumbi
Alifilimbwa na David Mataka Hadi akalazwaMkuu Ongeza na defao naye
Aliliwa Kiboga??????Alifilimbwa na David Mataka Hadi akalazwa