Zahera Mwinyi , Mayaula Mayoni alifirisiwa hadi nauli na mashangingi wa Magomeni , nenda kwenu kabla hujaanza kuomba nauli

Zahera Mwinyi , Mayaula Mayoni alifirisiwa hadi nauli na mashangingi wa Magomeni , nenda kwenu kabla hujaanza kuomba nauli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ni ushauri tu ninaokupa ndugu yangu , nafahamu ulivyochanganyikiwa na kutimuliwa Yanga kwa kutupiwa mfuko wako wa Rambo , hata mimi nakuhurumia , lakini jiangalie usije kushangaa mjini hadi uanze kutuomba nauli ya kurudi kwenu .

Mizunguko uliyoifanya kwenye vyombo vya habari inatosha sasa .
FB_IMG_1573196814328.jpg
 
Man U hawawezi mfukuza De Gea maana ni beki halafu kipa sasa Yanga wanamfukuzaje Zahera ambaye ni Kocha halafu mdhamini?
 
Back
Top Bottom