Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana tena , anafanya kazi nzuri sana natamani awe msaidizi wa Polepole CCM, wapinzani mtapotea kabisaMwisho wa kunukuu msemaji mwenye IQ ndogo wa simba amesema hivi mbele ya kituo cha Radio.
Wadau wa michezo naombeni mchambue na mdadavue hii kauli ya msemaji wa simba.
Uwanja wenu
Bahati nzuri magufuli hateui vilaza.Namkubali sana tena , anafanya kazi nzuri sana natamani awe msaidizi wa Polepole CCM, wapinzani mtapotea kabisa
Manara Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na hana heshma. Wakati yeye uwa ana lalamika watani zake wanapomwita zeruzeru jina ambalo anaona kama ni la kibaguzi katika jamii , yeye juzi anazungumza kwenye kituo cha redio akisema Zahera ni Mkongo hastaili kuzungumzia mambo fulani katika soka la Tanzania.Mwisho wa kunukuu msemaji mwenye IQ ndogo wa simba amesema hivi mbele ya kituo cha Radio.
Wadau wa michezo naombeni mchambue na mdadavue hii kauli ya msemaji wa simba.
Uwanja wenu
Lete ushahidi kwanza Ndo tudadavueMwisho wa kunukuu msemaji mwenye IQ ndogo wa simba amesema hivi mbele ya kituo cha Radio.
Wadau wa michezo naombeni mchambue na mdadavue hii kauli ya msemaji wa simba.
Uwanja wenu
Nenda efm wakupe audioLete ushahidi kwanza Ndo tudadavue
Uko sahihi, huyu kwa jinsi alivyo anafaa sana CCM.Namkubali sana tena , anafanya kazi nzuri sana natamani awe msaidizi wa Polepole CCM, wapinzani mtapotea kabisa
Msemaji wa Simba hujui kama ana matatizo ya kiakili!?Mwisho wa kunukuu msemaji mwenye IQ ndogo wa simba amesema hivi mbele ya kituo cha Radio.
Wadau wa michezo naombeni mchambue na mdadavue hii kauli ya msemaji wa simba.
Uwanja wenu
Ngoja waje wenye Manara wao. 😀😀Msemaji wa Simba hujui kama ana matatizo ya kiakili!?
Wenyewe wnamjua kuwa yuko Mirembe "day" lakini sio boardingNgoja waje wenye Manara wao. [emoji3][emoji3]
Hatari sanaWenyewe wnamjua kuwa yuko Mirembe "day" lakini sio boarding