Mkuu, hebu tuachie kaniki yetu.Sisi ndio tunajua ina rangi gani.Mtamlaumu dobi kumbe kaniki ndiyo rangi yake.
Mkuu, hebu tuachie kaniki yetu.Sisi ndio tunajua ina rangi gani.
Njano na kijani. Ama mmebadili rangi?Mkuu, hebu tuachie kaniki yetu.Sisi ndio tunajua ina rangi gani.
Kwenye mpira kuna ugeni tena mamii? Kama unajua unajua tu kama hujui hata ukae kwenye timu miaka mitano utabaki kua galasa tu ShadeeyaNionavyo tumpe muda kwani asilimia kubwa ya wachezaji ni wageni.
Bandeko ya wasiBolingo ya telefoni imekuwa bolingo ya butua butua.
Niseme ukweli kabisa huyu jamaa nilikuwa nma respect sana ila sasa kanichosha kabisa hata kama ni kesho aondoke tu, huwezi kusema uwanja mbovu wakati gor wanacheza vizuri tuMwinyi Zahera kuna wakati anazingua. Mimi kwa upande wangu nilishapoteza imani naye tangu sakata la Benno Kakolanya lilipotokea.
Usitetee uovu !
Bado siku ngapi afukuzwe!?Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu yake kila siku eti anajenga physic ya wachezaji hakuna hata Timu kubwa ambayo umepata matokeo zaidi ya penati wanayanga tunataka matokeo hatutaki maneno
UchebeeeeeLimbwata la kikongo limeanza kupungua nguvu.Walugaluga akili zimeanza kufanya kazi.
Umewaona wapi kwamba ni wabovu ? Maana hata mechi 5 walizocheza hazijafika.Sasa aina ya wachezaji aliowasajili ndo wanaompa hayo matokeo mtu kama Bolingi (Falcao) si bora vitals Mayanga,mwingine pale galasa ni huyo mzambia kalengo hamna kitu but yote kwa yote mzee hana mbinu mpya wanayanga kama mzee atabaki kilabuni tutegemee maumivu makubwa sana tatizo eti viwanja mbona makocha wote hawalalamiki kuhusu viwanja basi kafundishe huko Ulaya wenye Capeti tuachie Yanga yetu nijuavyo haha Tz viwanja vyenye capeti vinahesabika labda Timu ingepelekwa Congo
Waliokuwa wanaomba Zahera afukuzwe ndio waliokuwa mstari wa mbele kumwimbia manyimbo ya sifa pale JNIA alipowasili toka Botswana.Umewaona wapi kwamba ni wabovu ? Maana hata mechi 5 walizocheza hazijafika.