Zahera siku zako zinahesabika

Zahera siku zako zinahesabika

Hakuna kocha pale kazi kulalamika tu viongozi wanamsaidia ili timu iwe vizur yeye anawalaumu hadharani ameanza visingizio yeye kwanini alichelewa kujiunga kambini atuachie timu yetu ila ataondoka kwa aibu siku zake zinahesabika timu inacheza bora liende hatamfumo haujulikani wachezaji wazuri ila kocha bure kabisa
 
wamrudishe babu mholanzi...hili soka la butua butua...lishapitwa na wakati yan...mourniho style awapelekee wakongoko wenzake
 
Sasa aina ya wachezaji aliowasajili ndo wanaompa hayo matokeo mtu kama Bolingi (Falcao) si bora vitals Mayanga,mwingine pale galasa ni huyo mzambia kalengo hamna kitu but yote kwa yote mzee hana mbinu mpya wanayanga kama mzee atabaki kilabuni tutegemee maumivu makubwa sana tatizo eti viwanja mbona makocha wote hawalalamiki kuhusu viwanja basi kafundishe huko Ulaya wenye Capeti tuachie Yanga yetu nijuavyo haha Tz viwanja vyenye capeti vinahesabika labda Timu ingepelekwa Congo
 
Mwinyi Zahera kuna wakati anazingua. Mimi kwa upande wangu nilishapoteza imani naye tangu sakata la Benno Kakolanya lilipotokea.
Niseme ukweli kabisa huyu jamaa nilikuwa nma respect sana ila sasa kanichosha kabisa hata kama ni kesho aondoke tu, huwezi kusema uwanja mbovu wakati gor wanacheza vizuri tu
 
Limbwata la kikongo limeanza kupungua nguvu.Walugaluga akili zimeanza kufanya kazi.
 
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu yake kila siku eti anajenga physic ya wachezaji hakuna hata Timu kubwa ambayo umepata matokeo zaidi ya penati wanayanga tunataka matokeo hatutaki maneno
Bado siku ngapi afukuzwe!?
Simba maningia hatua gani ya mashindano?
 
Sasa aina ya wachezaji aliowasajili ndo wanaompa hayo matokeo mtu kama Bolingi (Falcao) si bora vitals Mayanga,mwingine pale galasa ni huyo mzambia kalengo hamna kitu but yote kwa yote mzee hana mbinu mpya wanayanga kama mzee atabaki kilabuni tutegemee maumivu makubwa sana tatizo eti viwanja mbona makocha wote hawalalamiki kuhusu viwanja basi kafundishe huko Ulaya wenye Capeti tuachie Yanga yetu nijuavyo haha Tz viwanja vyenye capeti vinahesabika labda Timu ingepelekwa Congo
Umewaona wapi kwamba ni wabovu ? Maana hata mechi 5 walizocheza hazijafika.
 
Back
Top Bottom