NOSWEAT
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 332
- 324
Hakuna kocha pale kazi kulalamika tu viongozi wanamsaidia ili timu iwe vizur yeye anawalaumu hadharani ameanza visingizio yeye kwanini alichelewa kujiunga kambini atuachie timu yetu ila ataondoka kwa aibu siku zake zinahesabika timu inacheza bora liende hatamfumo haujulikani wachezaji wazuri ila kocha bure kabisa