Zahera: Simba hawana uwezo wa kumsajili Makusu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia klabu ya Simba hawana uwezo wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya As Vita Club Jaen Mark Makusu.

Kocha huyo amedai Sio Makusu tu hata wachezaji wengi wa As Vita Club na TP Mazembe ni vigumu sana kusajiliwa na timu za Tanzania kwa sababu wanalipwa mishahara mikubwa na posho za kutosha timu hizo zinaendeshwa kama timu za ulaya tofauti na Simba na Yanga.

Zahera ametoa mfano kuwa Makusu analipwa milioni 39 kwa mwezi mshahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wa kagere tu unatosha kuwalipa mashabiki wote wa yanga na inabaki
 
Masikini huyo na yanga yake, hukumsikia Mo dewji alivyozungumzia habari za kuongeza bajeti ya timu izidi kuwa kubwa?
Bajeti kubwa,unavyoona itafikia ya bil 80 ya Al Ahly ya misri ?Yeye kawekeza bil 20 tu na tena ipo city bank kwenye fixed account na kwa makubaliano yeye 49% tayari na klabu kupitia wanachama wanunue hisa 51%,mpaka sasa zoezi la klabu kuuza hisa halijaanza......fikiria kwa makini hii ni biashara,anaweza kuongeza bajeti lakini sio kwa levo ya As vita na TP mazembe bado ila kama klabu itaweza na wao kutoa pesa(kuuza hisa kwa wanachama) basi baada ya miaka 10 .(Na wewe ujiandae kuwa mwana hisa sio mpiga domo).
 
Kelele za nini? Kwani kikosi cha vita na simba kipi ni gharama?
 


BAJETI HAIJAONGEZEKA SIMBA IPO HIVYO! JE AKIONGEZA ITAKUAWAJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…