Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia klabu ya Simba hawana uwezo wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya As Vita Club Jaen Mark Makusu.
Kocha huyo amedai Sio Makusu tu hata wachezaji wengi wa As Vita Club na TP Mazembe ni vigumu sana kusajiliwa na timu za Tanzania kwa sababu wanalipwa mishahara mikubwa na posho za kutosha timu hizo zinaendeshwa kama timu za ulaya tofauti na Simba na Yanga.
Zahera ametoa mfano kuwa Makusu analipwa milioni 39 kwa mwezi mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app