Siwezi kuendelea na kubishana na mpuuzi kama wewe unayesema serikali ya Tanzania haiwezi kumlipa Messi.Mtu yeyote anaetukana normally huwa ameshindwa hoja. Am sorry, for burdening you with something that your IQ can't handle.
NakaziaKwa nini zahera yuko bize na simba?
Topic imefungwa,hoooo hooonyie vyura msajili achen kuleta ubwabwa
mnatumia mda mwingi kuiponda simba kuliko mnasahau hadi kuchangia team yenu
kamusoko kwao wamajua yupo kwenye soka la kulipwa Tz kumbe anashinda kwenye matv kuomba michango
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hata mimi nashangaa mkuu kila cku lazima aizungumzie ila hata mo anamkubali zahera usishangae cku akitua msimbaziKwa nini zahera yuko bize na simba?
Hahaha yan limekuwa ndo lisemaji la timu ....hovyo kabisaHili bwana linabwabwaja kama jike la nyani.
Anaipenda anashindwa tu kusemaKwa nini zahera yuko bize na simba?
Yaani linaongea kama msukule.
chasuzy said:
Bajeti kubwa,unavyoona itafikia ya bil 80 ya Al Ahly ya misri ?Yeye kawekeza bil 20 tu na tena ipo city bank kwenye fixed account na kwa makubaliano yeye 49% tayari na klabu kupitia wanachama wanunue hisa 51%,mpaka sasa zoezi la klabu kuuza hisa halijaanza......fikiria kwa makini hii ni biashara,anaweza kuongeza bajeti lakini sio kwa levo ya As vita na TP mazembe bado ila kama klabu itaweza na wao kutoa pesa(kuuza hisa kwa wanachama) basi baada ya miaka 10 .(Na wewe ujiandae kuwa mwana hisa sio mpiga domo).
Kwanza kabisa mimi si mpiga domo kama ulivyoniainisha, mimi ni mwanachama halali wa klabu ya Simba.
.
Na kwa kukufahamisha ndugu chura Mo anautajiri mkubwa mno kiasi kwamba anao uwezo wa kumiliki Al-ahly na Zamalek zote sasa basi hakuna mfanyabiashara makini yeyote yule duniani anaeweza kufanya biashara kichaa yani awekeze shilingi mbili alafu apate shilingi moja haiwezekani.
.
Mpango wa Mo ni kuifanya klabu yetu pendwa baada ya miaka hata mitano tuweze kuwa mabingwa wa Africa na hili linawezekana hatuna masiala katika hili pesa zipo, nia tunayo na uwezo wa kufanya hivyo utakuwepo.
.
Rejea ya mmiliki wa Chelsea fc
hebu chomoa hiko kidole matakoni ufikirie vizuriSimba tunaweza kumlipa hata Messi
nyie omba omba lipeni mishahara
mtoto choko wewehebu chomoa hiko kidole matakoni ufikirie vizuri
Messi wa Kiluvya?Simba tunaweza kumlipa hata Messi
nyie omba omba lipeni mishahara
Kwanza kabisa mimi si mpiga domo kama ulivyoniainisha, mimi ni mwanachama halali wa klabu ya Simba.
.
Na kwa kukufahamisha ndugu chura Mo anautajiri mkubwa mno kiasi kwamba anao uwezo wa kumiliki Al-ahly na Zamalek zote sasa basi hakuna mfanyabiashara makini yeyote yule duniani anaeweza kufanya biashara kichaa yani awekeze shilingi mbili alafu apate shilingi moja haiwezekani.
.
Mpango wa Mo ni kuifanya klabu yetu pendwa baada ya miaka hata mitano tuweze kuwa mabingwa wa Africa na hili linawezekana hatuna masiala katika hili pesa zipo, nia tunayo na uwezo wa kufanya hivyo utakuwepo.
.
Rejea ya mmiliki wa Chelsea fc
dawa ni kumsajili Zahera kwanza then afute huyo Makusu, Simba timu kubwa
Kwanza tuanze kudadisi Timu anayochezea makusu tajiri wao anautajiri wa bei gani? Na timu ya simba ambayo tajiri ni mo anautajiri wa kiasi gani?
Sent using unknown device
Kwanza tuanze kudadisi Timu anayochezea makusu tajiri wao anautajiri wa bei gani? Na timu ya simba ambayo tajiri ni mo anautajiri wa kiasi gani?
Sent using unknown device
Kama hukosei? Ninamashaka lazima utakua umekosea hebu kadadisi vizuriFc vita inamilikiwa na mtu sio simba timu ya wanachama no ameweka mtaji ili nae apate faida ameweka dola milion 9.5 wenzako timu yao Ina utajiri wa dola million 40 kama sikosei sasa una wapataje hao watu?
Sent using Jamii Forums mobile app