Zahera: Simba hawana uwezo wa kumsajili Makusu

Zahera: Simba hawana uwezo wa kumsajili Makusu

Kwanza tuanze kudadisi Timu anayochezea makusu tajiri wao anautajiri wa bei gani? Na timu ya simba ambayo tajiri ni mo anautajiri wa kiasi gani?

Sent using unknown device
 
Mtu yeyote anaetukana normally huwa ameshindwa hoja. Am sorry, for burdening you with something that your IQ can't handle.
Siwezi kuendelea na kubishana na mpuuzi kama wewe unayesema serikali ya Tanzania haiwezi kumlipa Messi.

Tumia akili yako vizuri.
 
Simba tunaweza kumnunua Zahera tukamuweka sebuleni kwa Mo kama pambo. Achana na mnyama
 
chasuzy said:
Bajeti kubwa,unavyoona itafikia ya bil 80 ya Al Ahly ya misri ?Yeye kawekeza bil 20 tu na tena ipo city bank kwenye fixed account na kwa makubaliano yeye 49% tayari na klabu kupitia wanachama wanunue hisa 51%,mpaka sasa zoezi la klabu kuuza hisa halijaanza......fikiria kwa makini hii ni biashara,anaweza kuongeza bajeti lakini sio kwa levo ya As vita na TP mazembe bado ila kama klabu itaweza na wao kutoa pesa(kuuza hisa kwa wanachama) basi baada ya miaka 10 .(Na wewe ujiandae kuwa mwana hisa sio mpiga domo).

Kwanza kabisa mimi si mpiga domo kama ulivyoniainisha, mimi ni mwanachama halali wa klabu ya Simba.
.
Na kwa kukufahamisha ndugu chura Mo anautajiri mkubwa mno kiasi kwamba anao uwezo wa kumiliki Al-ahly na Zamalek zote sasa basi hakuna mfanyabiashara makini yeyote yule duniani anaeweza kufanya biashara kichaa yani awekeze shilingi mbili alafu apate shilingi moja haiwezekani.
.
Mpango wa Mo ni kuifanya klabu yetu pendwa baada ya miaka hata mitano tuweze kuwa mabingwa wa Africa na hili linawezekana hatuna masiala katika hili pesa zipo, nia tunayo na uwezo wa kufanya hivyo utakuwepo.
.
Rejea ya mmiliki wa Chelsea fc

Yaani povu litakutoka tu,mtaji wa MO simba ni bil 20 tu na wala hakuna pesa nyingine toka kwa MO zaidi ya hii 49%(20 bil).Klabu inatakiwa ndani ya miaka mitano iuze hisa za bil 20 kama mwekezaji alivyofanya,wewe unajinasibu kuwa mwanachama!!!ahaaa jipange kununua hisa,baada ya miaka mitano simba ya wanachama haitakuwepo ahaaa.Mo anasimamia biashara ya familia hana uwezo wa kuzinunua Al Ahly na zamalek,je unajua dhamani zao ???Al Ahly ndio klabu tajiri africa Pound mil19.25 au Tsh bil 594 na Zamaleki ni ya sita kwa utajiri pound mil 10.30 au Tsh bil 318 upo,Simba Tsh 20 bil kwenye fixed account city bank...ahaaaaa.
source(African football clubs- how much are they worth)
 
Kwanza kabisa mimi si mpiga domo kama ulivyoniainisha, mimi ni mwanachama halali wa klabu ya Simba.
.
Na kwa kukufahamisha ndugu chura Mo anautajiri mkubwa mno kiasi kwamba anao uwezo wa kumiliki Al-ahly na Zamalek zote sasa basi hakuna mfanyabiashara makini yeyote yule duniani anaeweza kufanya biashara kichaa yani awekeze shilingi mbili alafu apate shilingi moja haiwezekani.
.
Mpango wa Mo ni kuifanya klabu yetu pendwa baada ya miaka hata mitano tuweze kuwa mabingwa wa Africa na hili linawezekana hatuna masiala katika hili pesa zipo, nia tunayo na uwezo wa kufanya hivyo utakuwepo.
.
Rejea ya mmiliki wa Chelsea fc

The lawyers representing a British registered company associated with businessman Yusuf Manji have claimed that the billionaire businessman owns 99 per cent of telecoms company, Tigo..Thamani ya Tigo ni $1.3B..Na bado mazagazaga mengine...nafikiria Mo anatajwa tajiri wa kwanza Bongo kisiasa tu..nitajie kampuni yoyote ya Mo yenye thamani ya TIGO??machine za kukoboa Na kuchuja mafuta Na udalli wa sukari??Serikali imetaka kuwa hivi makalio makubwa afurahi..ina mwisho..katazame kipindi cha mkasi YouTube Mo anajuta kutokuwekeza kwenye simu
 
Fc vita inamilikiwa na mtu sio simba timu ya wanachama no ameweka mtaji ili nae apate faida ameweka dola milion 9.5 wenzako timu yao Ina utajiri wa dola million 40 kama sikosei sasa una wapataje hao watu?
Kwanza tuanze kudadisi Timu anayochezea makusu tajiri wao anautajiri wa bei gani? Na timu ya simba ambayo tajiri ni mo anautajiri wa kiasi gani?

Sent using unknown device

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom