Zahera yuko kibiashara, Yanga zindukeni

Zahera yuko kibiashara, Yanga zindukeni

Tuweke Kumbukumbu vzuri..
Unasema Yanga ndio imeuza sana Wachezaji nje ya Nchi? Be serious brother
Utoto ndo unakusumbua.Tuanze kuorodhesha hapa? Au unataka tuanze kutaja.
 
Unaweza kutuwekea utajiri wa simba hapa ili tufananishe na umaskini wa Yanga?

Simba haina haina kitu pesa zote ni za Mo
Kikubwa kwa sasa awape wanachohitaji kwa sasa. Ambacho ni matokeo.
Umaskini mbaya sana na yanga ni maskini.
 
Unaweza kutuwekea utajiri wa simba hapa ili tufananishe na umaskini wa Yanga?

Simba haina haina kitu pesa zote ni za Mo
Hapa tunazungumzia yanga simba imekujaje? Me ni shabiki wa Lipuli mkuu, acha kuhisi hisi.
 
Mikia tumewastukia mnamuogopa sana Zahera
kama ccm na msajili wanavyomuogopa mbowe. tunajidai wajanjaa kumbe washambaaa. wachezaji wanaingia na kutoka kwenye club kwani pesa ya makambo iliingia kwenye account binafsi ya zahera? kocha amekaa na club mwaka mmoja na kaingiza ml 200 wewe unamuona hafai.
 
Back
Top Bottom