mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Utoto ndo unakusumbua.Tuanze kuorodhesha hapa? Au unataka tuanze kutaja.Tuweke Kumbukumbu vzuri..
Unasema Yanga ndio imeuza sana Wachezaji nje ya Nchi? Be serious brother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto ndo unakusumbua.Tuanze kuorodhesha hapa? Au unataka tuanze kutaja.Tuweke Kumbukumbu vzuri..
Unasema Yanga ndio imeuza sana Wachezaji nje ya Nchi? Be serious brother
Kikubwa kwa sasa awape wanachohitaji kwa sasa. Ambacho ni matokeo.
Umaskini mbaya sana na yanga ni maskini.
Hapa tunazungumzia yanga simba imekujaje? Me ni shabiki wa Lipuli mkuu, acha kuhisi hisi.Unaweza kutuwekea utajiri wa simba hapa ili tufananishe na umaskini wa Yanga?
Simba haina haina kitu pesa zote ni za Mo
Mnamlipa?Af Zahera anaiona yanga ya kawaida sana utadhani Toto African,
Ana kakiburi flan hv
Hakuna timu inayoweza kusajili kikongwe kama yule zaidi ya Mikiahivi Kagere mbona sijawahi kusikia kuna timu huko nje inamuhitaji? au kwa sababu mechi za kimataifa anapotea kabisa
Taja umaskini wa Yanga basi.Ni kipi ambacho cha maana Yanga inakosa?Hapa tunazungumzia yanga simba imekujaje? Me ni shabiki wa Lipuli mkuu, acha kuhisi hisi.
kama ccm na msajili wanavyomuogopa mbowe. tunajidai wajanjaa kumbe washambaaa. wachezaji wanaingia na kutoka kwenye club kwani pesa ya makambo iliingia kwenye account binafsi ya zahera? kocha amekaa na club mwaka mmoja na kaingiza ml 200 wewe unamuona hafai.Mikia tumewastukia mnamuogopa sana Zahera