Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Wewe ndiyo kilaza tena very stupid kilaza, unadhani kila mtu anaishi kwa flow uliyokariri. Kuna watu independent na wanaojiamini, siwezi kukulaumu kwani kwanza sidhani kama una exposure na kama umewahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye totally independent kwa maana ya kifikra na kimaamuzi.Hizo kamba kawapige vilaza wenzako, kwenye hizo jamii tunaishi nao. Huyu mke wako hatoki familia ya kiislam ile pure, yaan yy asome madrasa, na baba yake awe anaswali swala 5 pamoja na kaka zake. Acha hizo kamba.
Huyo mke wako lazma tu ametoka familia yenye mchanganyiko wa hizo dini na 100% ni mtoto wa nje ya ndoa.
Kwa mwanamke anayetegemea familia yake najua hawezi kujiamulia lakini mwanamke anayejitegemea na anayeweza kusafiri kuishi overseas mwenyewe na akakutana na mtu akamuelewa mtofautishe na hoa majirani zako wa Mwananyamala kwenu huko.
Uzuri hizi arguments hukufungua mtu kuelewa upeo wa akili, elimu na exposure ya unaye-argue naye.