I am Mkuu wa Malawi anaitwa Sheikh Daniel
Mchezaji mpira wa zamani wa Nigeria aliitwa Rashid Yekini alikuwa Mkristo
Emmanuel Amunike alikuwa Mchezaji pia ni Muislam
Kuna watu wako busy na majina ya kiarabu na kizungu ku assess dini za watu
Frank Riberry alikuwa mchezaji nayèye ni muislamu na pia hata Thiery Henry.
Watu wengi wanajua majina ni dini,na wengi wanajua wazungu wote ni wakristu kumbe ni tofauti kabisa.
Wazungu wengi hasa wa East Europe wengi ni waislamu safi tu na wengi tu hawana hata hiyo dini yoyote japo majina yao ni John,Peter,Job,Mary,nk
Nina ndugu yangu kwa mama yangu mkubwa alikuwa anaitwa Mathias kwa sasa anaitwa Jamal na hakuna shida kwenye familia upendo kama kawaida kwa maana ni choice yake.
Kuna rafiki yangu wazazi wake wote ni wakristu safi lakini yeye kwa sasa kaacha na hataki kusikia dini yoyote ile na anasema hakuna Mungu na wala hajatengwa na familia wala ndugu zake.
Kuna jamaa yetu jirani yetu kule Tabora mjini kwa sasa anaishi wilaya ya Urambo alikuwa muislamu yule deep kabisa kabisa tena wa kubishana Kwenye mihadhara mfia dini ya kiislamu kwa sasa ni mkristu safi tena mkatoliki huwezi amini ndio huyu.
Sometimes imani za dini na kuhusu Mungu ni jambo binafsi sana kwa maisha ya wakati huu na kuendelea hasa hizi zama za digital age.
Sent from my SM-J610F using
JamiiForums mobile app