Zahir Zorro ni dini gani?

Zahir Zorro ni dini gani?

Mzee ndo aina ya maisha tunapaswa kuishi, hakujari dini mwanae amefuata, alizidisha upendo na dua kwa binti yake.
Dua gani Waislam hatuwaombei wasio Waislam
labda aombe kwa mizimu ya babu yake wa kimanyema
lakini uislam hauruhusu hilo na hata hiyo DUA aikubaliwi
 
Shida ni watu kutotaka kuheshimu maamuzi ya mtu mzima. Mwanao anafata kwa kurithi dini/imani unayofuata mzazi, lakini anapokuwa mkubwa ana uhuru wa kufuata imani anayopenda mwenyewe. Mzee Zorro bila shaka anaheshimu hili.
Mzee Zahir Zorro ni mfano mzuri wa flexible parent.

He is exact like my Dad kwa falsafa zake kimaisha japo mzee wangu hayupo sana kwenye kufanya mambo ya ujana like partying na ulevi ila he is with a really open ended mindset.

Fanya unaloona sahihi as long as humletei madhara mtu, live your own life as long as uko na morals huwa hana tatizo. Sio autocratic parent kwa maana aanze ku dictate namna anavyotaka uishi mara unamuoa kabila gani au dini gani.

Huwa haingilii personal affairs zako yuko kama facilitator na supporter ila sio dictator. Thats why i love my Dad a lot.
 
Hili ndilo tatizo la sisi waafrika kutumia muda mwingi kufuatilia dini hizi za kuja na maisha binafsi ya familia za watu badala ya masuala yanayotuunganisha kama jamii.
Dini pia zinatuunganisha kama jamii, usilolijua vitu vingi Africa ni vyakuja uwezi kuvikwepa.

NB wote katika Dunia hii inasemekana walikuwa waislamu, ila baadae aidha wazazi wao au ndugu zao ndio wakawatoa kwenye uislamu na kuwapeleka dini zingine kwa kuwabatiza.
 
Mama yake Yesu ni myahudi ndio maana alivaa nikabu.

Sasa na wewe bibi ni myahudi?

Halafu ni "alivaa" sio "anavaa". Kwani huko shule ulienda kusomea ujinga?
Hivi hapo wewe na bibi ni nani ambae alishindwa kufahamu ni kitu gani alikfuata shule?

Mama wa Yesu leo hii tupo wapi hadi ufikiriwe kwamba unaweza kumuona akiwa amevaa hiyo nikabu.

Hali hiyo ulihudhuria shule, atujui kama usingehuria hata kwa kiasi hicho ujinga wako ungekuwa wa kiwango gan.!
 
I am Mkuu wa Malawi anaitwa Sheikh Daniel

Mchezaji mpira wa zamani wa Nigeria aliitwa Rashid Yekini alikuwa Mkristo

Emmanuel Amunike alikuwa Mchezaji pia ni Muislam


Kuna watu wako busy na majina ya kiarabu na kizungu ku assess dini za watu
Hata hivyo majina ndio yanawakilisha din usipinge wewe coz hayo majina yana maana kidini husika , so mfano rashid na ukristo wapi na wapi sema alibadili ila kwakuwa alizoeleka na jina hilo akabaki nalo na ndio maana kwa sisi wakristo lazima ubatizwe na jina jipya unapewa lazima
 
Hivi hapo wewe na bibi ni nani ambae alishindwa kufahamu ni kitu gani alikfuata shule?

Mama wa Yesu leo hii tupo wapi hadi ufikiriwe kwamba unaweza kumuona akiwa amevaa hiyo nikabu.

Hali hiyo ulihudhuria shule, atujui kama usingehuria hata kwa kiasi hicho ujinga wako ungekuwa wa kiwango gan.!
Wewe hata kuandika tu ukaeleweka huwezi, nikikuita zumbukuku nitakuwa nimekosea?

Eti Zumbukuku?
 
Kwenye mkesha wa Pasaka huku Parokiani kwetu kulikuwapo ndoa ya kipekee. Mume alikuwa msabato na mke alikuwa muisilamu, wote wakakubaliana kuachana na imani zao na kufunga ndoa ya Kikatoliki, tena baada ya mafundisho ya ukatukumeni kwa mwaka mzima
 
Dua gani Waislam hatuwaombei wasio Waislam
labda aombe kwa mizimu ya babu yake wa kimanyema
lakini uislam hauruhusu hilo na hata hiyo DUA aikubaliwi
Yaani nimelelewa vizuri kwenye hizi dini zote, so unapoteza muda. Nazijua vizuri sana, pamoja na Buddhism. Dua anaombewa mwanadam sio dini. Uislam sio dini ya ubaguzi kama unavyofikiria wewe na akili zako ndogo. Nimekua na vingozi wa dini hii mara nyingi sijasikia wakisema ubaguzi. Hata msikitini hauendi unaishia kelele humu, get out here bitch ass
 
I am Mkuu wa Malawi anaitwa Sheikh Daniel

Mchezaji mpira wa zamani wa Nigeria aliitwa Rashid Yekini alikuwa Mkristo

Emmanuel Amunike alikuwa Mchezaji pia ni Muislam


Kuna watu wako busy na majina ya kiarabu na kizungu ku assess dini za watu
Frank Riberry alikuwa mchezaji nayèye ni muislamu na pia hata Thiery Henry.
Watu wengi wanajua majina ni dini,na wengi wanajua wazungu wote ni wakristu kumbe ni tofauti kabisa.
Wazungu wengi hasa wa East Europe wengi ni waislamu safi tu na wengi tu hawana hata hiyo dini yoyote japo majina yao ni John,Peter,Job,Mary,nk
Nina ndugu yangu kwa mama yangu mkubwa alikuwa anaitwa Mathias kwa sasa anaitwa Jamal na hakuna shida kwenye familia upendo kama kawaida kwa maana ni choice yake.
Kuna rafiki yangu wazazi wake wote ni wakristu safi lakini yeye kwa sasa kaacha na hataki kusikia dini yoyote ile na anasema hakuna Mungu na wala hajatengwa na familia wala ndugu zake.
Kuna jamaa yetu jirani yetu kule Tabora mjini kwa sasa anaishi wilaya ya Urambo alikuwa muislamu yule deep kabisa kabisa tena wa kubishana Kwenye mihadhara mfia dini ya kiislamu kwa sasa ni mkristu safi tena mkatoliki huwezi amini ndio huyu.
Sometimes imani za dini na kuhusu Mungu ni jambo binafsi sana kwa maisha ya wakati huu na kuendelea hasa hizi zama za digital age.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nimepitia comments zote humu .Nilichogundua vijana wa kikiristo akili zao ni za kutafuta ugali tu na maisha ya kidunia tu.Wala hawawazi kama maisha haya yana mwisho na kuna maisha mengine kaburini.wala hawana habari hiyo wao ni viburi kwa kwenda mbele utadhani kuna mtu wanamkomoa......pua. pua pua......! Ni vijana wenye akili zilizofungwa na kufuli za moto hawawezi kutumia akili zao vizuri mungu alizowapa .kazi yao ikitoka mada inayohusu uislamu wao ni dharau na majivuno utafikiri wana cha kujivunia huko kwa bwana yesu......!
 
Tupo wengi, wangu alibadili kabla sijamuoa na sasa kapitiliza mpaka kawa mlokole.
HAKUNA KITU KIGUMU KAMA MUISLAM KUBADILI DINI. YAANI MBUNGI LAKE SI LA KITOTO. UKIONA MTOTO WA KIISLAM AMEBADILI BASI KUNA MAWILI.

1. HAISHI KWA BABA YAKE/BABA YAKE AMEFARIKI/BABA YAKE HAJAWAHI KUSOMA QURAN AU KUSWALI HATA MARA MOJA.

2. MZAZI WAKE MMOJA NI MKRISTO.

Nina uzoefu na hizo changamoto.
 
Back
Top Bottom