Zahir Zorro ni dini gani?

Zahir Zorro ni dini gani?

Huyo Mzee ni muungwana sana, lakini kumbe huenda imechangiwa na mama wa marehemu kuwa Mkristo,

La sivyo wa watu wa dini nyingine hupenda kugombea maiti sana wawazike kwa dini zao sijui huwa kwa sababu gani?!

Yani hata kama mwenyewe alishadiriki kubadili dini kwa ridhaa yake lakini kwa watu wengine pangepitwa nakwambia !

Yani pangekuwa na mivutano ya hali ya juu!
 
Watu huwa hawagombei maiti
Ukiona hilo linatokea ujue wanagombea kilichokua ndani ya maiti au alichokiacha

Wanadamu wa ajabu sana
 
Mama yake Yesu ni myahudi ndio maana alivaa nikabu.

Sasa na wewe bibi ni myahudi?

Halafu ni "alivaa" sio "anavaa". Kwani huko shule ulienda kusomea ujinga?
Kwani picha zake huzioni? Kamvue basi.

Jiulize wewe unaemfanya Yesu "Mungu" wajko wakati biblia ipo wazi katumwa kwa kwa wayahudi tu?
 
Huwa najifunza unapowajibu watu kutoka na uelewa wako. I wish vijana wapya hapa jf waje wapitie nyuzi uliyowahi kuandika Wasifu wako
 
Back
Top Bottom