Zahoro matelephone

Zahoro matelephone

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,203
Nazani kwasasa jamaa upande wa kuhakikisha kila mtanzania anamiliki smartphones kwa Bei rahisi unaupiga mwingi..

Baada ya kuona machawa wengi wa mjini wanamsifia ikabidi na mimi nizame china plaza kwenda kuchukua simu 2.

Movie inaanza kuna oppo A83 alikua anauza Bei cheap sana na Gb 128 (online ads) kufika dukani wazee Bei ni tofaut na ile ya online kwa vile nilikua nmeyavulia maji nguo ni lzm nioge nikachukua simu 2 A83 na Samsung note 10+

Kufika kwangu ikabidi nikae nikague bidhaa za Used Dubai kwanza ile oppo A83 nimekuta ni Gb 32 baada ya kuu connect na computer yangu Alf simu inapata moto kichizi na inaisha chaji haraka.

Kioo kuna muda kinagoma kutachi weeee ikabidi niende kweny note 10+ quality ya camera sio kma note 10+ ya wife simu inapata moto unaweza kupigia pasi nguo

Ikabidi nirud dukani kwao maana online wanasema warranty mwaka Ila dukani unapewa miezi 6 tuu nayo ishu za hardware hawahusiki

Kufika dukani ishu ya oppo nikawaambia wakasema betri lzm ninunue wanifungie Ila baada ya ya hapo warranty inakua imeisha na ishu ya capacity majibu yao mabovu balaa

Nikawapa shida ya note 10 camera quality waksema ningenunua mpya

Kwa kwl mpk kuandika unyama wote nimeshindwa na walivyowajanja wana maduka mawili duka moja kwa ajili ya kununua tuu ila duka jingine Ndio uko unakuta foleni ya kesi za simu
 
Sishauri mtu aende akanunue simu zahoro pale nilinunua pale simu daaah hatar sanaa sijui wanaziokota zile simu alafu wanazipaka rangi tu daah
 
Kariakoo kama hupafahamu na watu wakukuuzia simu kinachofata wewe kwenda polisi au kuchukuliwa na polisi.
Siku hizi hakuna wafanyabiashara kuna wanywabiashara tu.
Mtu hafahamu simu kapata mtaji anakwenda kuagiza ndii hayo kisa bei rahisi.
Nakupa code tu:
Simu zilizokuwa na mzunguko kama samsung mfano usinunue toleo lilopitiliza mda mrefu.
Kama ulivonunua note 10+ ni bora unganunua note 22 ultra sababu ijawa kwenye mzunguko kuingia refub
 
Nazani kwasasa jamaa upande wa kuhakikisha kila mtanzania anamiliki smartphones kwa Bei rahisi unaupiga mwingi..

Baada ya kuona machawa wengi wa mjini wanamsifia ikabidi na mimi nizame china plaza kwenda kuchukua simu 2.

Movie inaanza kuna oppo A83 alikua anauza Bei cheap sana na Gb 128 (online ads) kufika dukani wazee Bei ni tofaut na ile ya online kwa vile nilikua nmeyavulia maji nguo ni lzm nioge nikachukua simu 2 A83 na Samsung note 10+

Kufika kwangu ikabidi nikae nikague bidhaa za Used Dubai kwanza ile oppo A83 nimekuta ni Gb 32 baada ya kuu connect na computer yangu Alf simu inapata moto kichizi na inaisha chaji haraka.

Kioo kuna muda kinagoma kutachi weeee ikabidi niende kweny note 10+ quality ya camera sio kma note 10+ ya wife simu inapata moto unaweza kupigia pasi nguo

Ikabidi nirud dukani kwao maana online wanasema warranty mwaka Ila dukani unapewa miezi 6 tuu nayo ishu za hardware hawahusiki

Kufika dukani ishu ya oppo nikawaambia wakasema betri lzm ninunue wanifungie Ila baada ya ya hapo warranty inakua imeisha na ishu ya capacity majibu yao mabovu balaa

Nikawapa shida ya note 10 camera quality waksema ningenunua mpya

Kwa kwl mpk kuandika unyama wote nimeshindwa na walivyowajanja wana maduka mawili duka moja kwa ajili ya kununua tuu ila duka jingine Ndio uko unakuta foleni ya kesi za simu
Ay ft FA usije Mjini

Nikutumie hii nyimbo mkuu?
 
KANUNI: Usinunue bidhaa yoyote ya electronic iliyotumika ni hasara
 
Wanasema Dubai lakin daah Dubai watakua wanauza vitu vya hovyo sanaa
Au pengine mbagala kuna sehemu itakua inaitwa Dubai unaeza ukawa unalalamika lakini makosa kumbe ni yetu hatujauliza ni Dubai ya wapi??

Dubai ni kitovu ambacho asilimia kubwa ni watu wenye mitaji wanaweza kukusanya uchafu wowote duniani na kurekebisha .
Kuna simu zinatoka tanzania mbovu zinapelekwa dubai na kurudi tena zikiwa mpya.
 
Back
Top Bottom