Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo umetoa kali...Napendaga kununua misosi tu kariakoo
Mkuu hii formula nilifundishwa na mama mzazi cheap things ni gharama sanaa....Nazani kwasasa jamaa upande wa kuhakikisha kila mtanzania anamiliki smartphones kwa Bei rahisi unaupiga mwingi..
Baada ya kuona machawa wengi wa mjini wanamsifia ikabidi na mimi nizame china plaza kwenda kuchukua simu 2.
Movie inaanza kuna oppo A83 alikua anauza Bei cheap sana na Gb 128 (online ads) kufika dukani wazee Bei ni tofaut na ile ya online kwa vile nilikua nmeyavulia maji nguo ni lzm nioge nikachukua simu 2 A83 na Samsung note 10+
Kufika kwangu ikabidi nikae nikague bidhaa za Used Dubai kwanza ile oppo A83 nimekuta ni Gb 32 baada ya kuu connect na computer yangu Alf simu inapata moto kichizi na inaisha chaji haraka.
Kioo kuna muda kinagoma kutachi weeee ikabidi niende kweny note 10+ quality ya camera sio kma note 10+ ya wife simu inapata moto unaweza kupigia pasi nguo
Ikabidi nirud dukani kwao maana online wanasema warranty mwaka Ila dukani unapewa miezi 6 tuu nayo ishu za hardware hawahusiki
Kufika dukani ishu ya oppo nikawaambia wakasema betri lzm ninunue wanifungie Ila baada ya ya hapo warranty inakua imeisha na ishu ya capacity majibu yao mabovu balaa
Nikawapa shida ya note 10 camera quality waksema ningenunua mpya
Kwa kwl mpk kuandika unyama wote nimeshindwa na walivyowajanja wana maduka mawili duka moja kwa ajili ya kununua tuu ila duka jingine Ndio uko unakuta foleni ya kesi za simu
Used Grade A+ zipo unaweza kutumia zaidi ya miaka 3 bila hata kukusumbua shida ni wabongo kuangalia bei za kitonga tu bila kupiga hesabu za muda atakaotumia hiyo simu baada ya kuinunua.Zina gredi ila kutokana na wafanya biashara na wateja kupenda kitonga mnapewa tu.
Pole sana ndugu, Ni heri used uagize ebay/amazon, Na ukitulia katika utafutaji unapata refub. iliyobora inalingana na mpya.Kwa kwl mpk kuandika unyama wote nimeshindwa na walivyowajanja wana maduka mawili duka moja kwa ajili ya kununua tuu ila duka jingine Ndio uko unakuta foleni ya kesi za simu