Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Ndio kanuni nayotumia mimi ,siku moja nimeenda kununua TV kuna zile sample ambazo zinakuwa dukani tv tulipatana 630k,wakataka kunipa zile za dukani nikagoma nikawaambia nataka ya kwenye boksi nifungue mwenyewe tuijaribu hapa.KANUNI: Usinunue bidhaa yoyote ya electronic iliyotumika ni hasara
Wakasema kama unataka sealed ni 650k nikasema hamna shida nikaongeza 20.