Zahoro matelephone

Zahoro matelephone

Kariakoo nzima akuna simu mpya ukitaka simu mpya uende kwenye duka husika ila ao used akuna kitu anacho eleza ndio kilichonikuta simu nimetumia mwezi tu ina kaa inajaa na chaji lisaa na nusu inaisha nusu saa na inapata moto inaunguza ata ikiwa aitumiki
 
Nazani kwasasa jamaa upande wa kuhakikisha kila mtanzania anamiliki smartphones kwa Bei rahisi unaupiga mwingi..

Baada ya kuona machawa wengi wa mjini wanamsifia ikabidi na mimi nizame china plaza kwenda kuchukua simu 2.

Movie inaanza kuna oppo A83 alikua anauza Bei cheap sana na Gb 128 (online ads) kufika dukani wazee Bei ni tofaut na ile ya online kwa vile nilikua nmeyavulia maji nguo ni lzm nioge nikachukua simu 2 A83 na Samsung note 10+

Kufika kwangu ikabidi nikae nikague bidhaa za Used Dubai kwanza ile oppo A83 nimekuta ni Gb 32 baada ya kuu connect na computer yangu Alf simu inapata moto kichizi na inaisha chaji haraka.

Kioo kuna muda kinagoma kutachi weeee ikabidi niende kweny note 10+ quality ya camera sio kma note 10+ ya wife simu inapata moto unaweza kupigia pasi nguo

Ikabidi nirud dukani kwao maana online wanasema warranty mwaka Ila dukani unapewa miezi 6 tuu nayo ishu za hardware hawahusiki

Kufika dukani ishu ya oppo nikawaambia wakasema betri lzm ninunue wanifungie Ila baada ya ya hapo warranty inakua imeisha na ishu ya capacity majibu yao mabovu balaa

Nikawapa shida ya note 10 camera quality waksema ningenunua mpya

Kwa kwl mpk kuandika unyama wote nimeshindwa na walivyowajanja wana maduka mawili duka moja kwa ajili ya kununua tuu ila duka jingine Ndio uko unakuta foleni ya kesi za simu
Mkuu hii formula nilifundishwa na mama mzazi cheap things ni gharama sanaa....

Asante sana mkuu Kwa kuuhabaisha umma huu Uzi wako utasaidia wengi.......

Tuishi huku
Ginune
Ginune
Ginune
 
Zina gredi ila kutokana na wafanya biashara na wateja kupenda kitonga mnapewa tu.
Used Grade A+ zipo unaweza kutumia zaidi ya miaka 3 bila hata kukusumbua shida ni wabongo kuangalia bei za kitonga tu bila kupiga hesabu za muda atakaotumia hiyo simu baada ya kuinunua.
Ukimpa simu used ya grade A+ anakwambia siitaki hiyo mbona bei kubwa,nataka ya bei ya chini
 
Kwa kwl mpk kuandika unyama wote nimeshindwa na walivyowajanja wana maduka mawili duka moja kwa ajili ya kununua tuu ila duka jingine Ndio uko unakuta foleni ya kesi za simu
Pole sana ndugu, Ni heri used uagize ebay/amazon, Na ukitulia katika utafutaji unapata refub. iliyobora inalingana na mpya.
 
Nakomaa na A Series yangu hapa maisha yanasonga.
 
Mie nilikwenda duka posta kwa wahindi kutafuta samsung M53 ninayotumia hapa nikaambiwa mpya 600k kwenye box nikanunua narud home brother akaipenda .

Baada ya kama week namuona anakuja na yake huku ananicheka amenunua kwa 250k tu kkoo nikambishia ile kunionyesha tu risiti na kuona jina zahoro nikamwambia umeliwa akaendelea kunicheka.

Simu yangu aliipenda sababu ya camera na ukaajibwa charge maana kama si mtumiaji mkubwa wa internet siku 2 inaweza kukaa bila kuchaj na kama mtumiaji sanaaa basi mpka saa 12 jioni simu inatafuta 50%.

Picha linaanza baada ya kujaa charge simu baada ya nusu saa tu charge iko 30% toka 100% camera ndo chenga balaa.

Akafura akawafata ofisini aisee walimjibu majibu ya nyodo hatar wale madada sjapata kuona na hata ukiingia kwenye page zao 60% ya wateja wanalalamika sema anatumia nguv kubwa sana kujipromote

Alhamdulilah hela alirudsha maana tulikataa sm nyingine zaid ya kurudshiwa hela yetu
 
Back
Top Bottom