Ni mekuwa najiuliza hii misururu mirefu ya maroli yanayorudi Dar ikiwa tupu na mingine kubebana miwili, hivi hatuna bidhaa za kupeleka bandarini? hatuna marobota ya pamba katani kahawa mahindi alizeti mashudu? ni kweli hatuna bidhaa za kuuza nje ya nchi? sie tumekuwa soko la bidhaa za nje tu?
Naimani haya maroli yalienda mikoani yakiwa na bidhaa kufika huko yalikosa mzigo wa kuridi nao hivyo kuamua kurudi tupu na mengine kubebana kama panzi.
Nilitegemea maroli yatoke tupu Dar yafuate mzigo mikoani, yafuate ngozi pamba katani mashudu ng'ombe. Kama uchumi wetu ni kuagiza tu sie tunauza nini? trade balance yetu ikoje? Raisi anatoa wapi fedha za kigeni kukidhi mahemezi yetu?