haya maroli yaliyobebana mawili mawili hayana containers ni flat bedsmizigo ipo sema contena lina time limit ya kutoka bandari hdi siku ya kurudi...ukichelewesha contena ulilolitoa bandarini unapgwa faini so usione gar ipo na contena tupu ukazani kakosa mzgo si kweli sema wanakimbizana na muda
nimeyaona na ya rwanda burundi yakiwa tupuZamani enzi za Awamu ya 4 Malori asilimia kubwa yalikuwa ni ya Watanzania baada kuingia Awamu ya Punguwani akawahimiza ndugu zake waHutu waongeze Malori sasa hivi unakuta Lori la Burundi limebeba Mkaa wa Tanzania tani 30 kuja kuumwaga Dar kwa bei poa Malori yetu yamekosa kazi.
yanayotoka kanda ya ziwa mengi yao yanarudi tupuNgojea nikujibu haraka kwanza unakaa wapi?
Lorry tupu inategemea na njia ukienda Rwanda, Kenya, Uganda utarudi tupu lkn ukienda Malawi, Congo drc, Zambia huko njia hizo hauwezi kurudi tupu unakwenda na nundu unarudi na nundu yaani njia ya dar - mbeya huko huji kukuta gari zimebebana labda za ajali yaani hilo jambo sahau! Like these two weeks ukitaka lorry ww piga hesabu ya week mbele yaani zote zimejaa Kuna mizigo balaa!
Sijakuelewa hapa nifafanulie vzur nielewehaya maroli yaliyobebana mawili mawili hayana containers ni flat beds
maroli mengi yanarudi yakiwa tupu hayana hata containerSijakuelewa hapa nifafanulie vzur nielewe
duh, mzee nae alizingua kumbeZamani enzi za Awamu ya 4 Malori asilimia kubwa yalikuwa ni ya Watanzania baada kuingia Awamu ya Punguwani akawahimiza ndugu zake waHutu waongeze Malori sasa hivi unakuta Lori la Burundi limebeba Mkaa wa Tanzania tani 30 kuja kuumwaga Dar kwa bei poa Malori yetu yamekosa kazi.
Unamuamini huyo punga?duh, mzee nae alizingua kumbe
Huwezi kulijua kama lina Shipping Container.nimeyaona na ya rwanda burundi yakiwa tupu
Unafikiria mimi kazi yangu ni muimba mapambio wa Kaburi kama wewe?Unamuamini huyo punga?
Yule alikuwa nuksi.duh, mzee nae alizingua kumbe
Nasikia wabongo wengi malori wameyakimbiza Zambia ,Zimbabwe ,Malawi na Congo , wengine wameenda Hadi South Africa , biashara zimedoda hapa na pia kipibdi like cha vurugu za kukamatana na kutekana Kwa visingizio vya uhujumu uchumiZamani enzi za Awamu ya 4 Malori asilimia kubwa yalikuwa ni ya Watanzania baada kuingia Awamu ya Punguwani akawahimiza ndugu zake waHutu waongeze Malori sasa hivi unakuta Lori la Burundi limebeba Mkaa wa Tanzania tani 30 kuja kuumwaga Dar kwa bei poa Malori yetu yamekosa kazi.
We naye ni ***** Sana halafu nimekuobserve muda mwingi we ni K flani uliyekuwa unsimba mapambio humu kumsifia Yule bwege wenu , kuna mawili , either wewe ni mpumbav usiyejua jinsi Yule kunguni alivyoharibu Huu uchumi WA nchi au unajua Ila inajifanya Fala kuna kuandika comments za kimatacle humu K weweUnamuamini huyo punga?