Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Kwa hiyo maskini waache kusoma vile wanavyopenda kwa vile sio kipaumbele?
kuacha kusoma hiyo hiyo ni hiari yake na itakuaje hasiwe na plan B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo maskini waache kusoma vile wanavyopenda kwa vile sio kipaumbele?
umenishauri vizuri! But kusoma education sitaweza kabisa,
chuon kwetu Tia waliopewa mkopo wote ni fm6, au majina ya diploma yatafata baadae ?, msaada mwenye tetes zozot juu ya hil jambo mana ata Ifm na Mzumbe ivo ivo
calm down na fikiria plan B sisi hatuna cha kukupa
Bunge la Katiba limekomba pesa zote, sasa hata mlalamike vipi serikali hii haiwezi kuwasikiliza. Chezea Chenge na Sitta wewe....halafu JK akakubaliana nao.
iv naomba kuuliza mkuu,edctn wotee kweli watapata mkopo? mana udom?tena na serikali inekufungulia mlango pia yakuwa unachoenda kukisoma hakina ajira coz baada ya kuhitimi utajilaumu tena kwanini hukusoma education?
HIVi wewe unasema serikali isilaumiwe kivipi mfano mi nilichgua coz tano 4 priolty 1 non nikapelekwa non hapo mzumbe bhsm na sijapata kitu wamepata watu 7 kati ya 90 na hivi unadhani hiyo ni haki na wote watoto wa wakulima
:angry::angry:
Nani kati ya walioapply siyo mtoto wa mkulima, acha kuropoka kama ni kodi wote tunalipa, tatizo haukusoma Economics ulisoma zako English hivyo haujui kila siku ukila chochote umelipa kodi pia, mavazi likewise, serikali inatakiwa kugawa national cake equally siyo kulopoka na bila kujua kama hiyo nihaki yangu na ninapokosa haki yangu lazima nilaumu!
Maskini wote kozi zetu ni ualimu na Sayansi kozi za utawala tuwaachie watawala wenye nazo,nyie maskini mnachagua kozi za utawala,sheria ili mmtawale nani?
Nadhani ingekuwa njema zile za nani priority wangetoa mkopo hata kwa asilimia 30 tu
Wadau hii suala vip, serikali inalichuliaje, chuo pia kinalichukuliaje hili suala?
Zaidi ya 80% wanafunzi walioomba mkopo heslb na wakabahatika kuchaguliwa Mzumbe university tumekosa mkopo, Mfano BBA. PLM tulichaguliwa wanafunzi 103, ambao wamepewa mkopo ni 10 tu.
Pia BSEPD waliochaguliwa ni zaidi ya 100 waliopata mkopo ni wanafunzi 6 tu.
Je sisi watoto wa wakulima na masikini wa kutupwa tutaenda wapi? Ndo kusoma imetoka au la! Serikali inalizunguziaje hili? Mwisho naomba ushauri,
NIFANYE NINI ILI NISOME? USHAURI
umenishauri vizuri! But kusoma education sitaweza kabisa,