Zaidi ya asilimia 80 wamekosa mkopo Mzumbe University

Zaidi ya asilimia 80 wamekosa mkopo Mzumbe University

Bunge la Katiba limekomba pesa zote, sasa hata mlalamike vipi serikali hii haiwezi kuwasikiliza. Chezea Chenge na Sitta wewe....halafu JK akakubaliana nao.
 
Bunge la Katiba limekomba pesa zote, sasa hata mlalamike vipi serikali hii haiwezi kuwasikiliza. Chezea Chenge na Sitta wewe....halafu JK akakubaliana nao.

we unabahatisha bunge la katiba limeanza juzi na bajeti ya mikopo ilikuwepo tangia mwaka jana, mwishowe mtaanza kulalamikia uchaguzi
 
Hivi watu wote wa arts wangeapply education ambayo ni priority wangepata?? mambo yangekuwa yaleyale, tatizo ni kwamba katika nchi hii fedha nyingi zinakuwa allocated katika vitu ambavyo havina maana wanaacha kukazania elimu ili kujenga taifa la wasomi.....
 
HIVi wewe unasema serikali isilaumiwe kivipi mfano mi nilichgua coz tano 4 priolty 1 non nikapelekwa non hapo mzumbe bhsm na sijapata kitu wamepata watu 7 kati ya 90 na hivi unadhani hiyo ni haki na wote watoto wa wakulima
:angry::angry:

si ajabu hujui kushk hat jemb
 
Nani kati ya walioapply siyo mtoto wa mkulima, acha kuropoka kama ni kodi wote tunalipa, tatizo haukusoma Economics ulisoma zako English hivyo haujui kila siku ukila chochote umelipa kodi pia, mavazi likewise, serikali inatakiwa kugawa national cake equally siyo kulopoka na bila kujua kama hiyo nihaki yangu na ninapokosa haki yangu lazima nilaumu!

kama ni kodi yak kwanini waite mkopo unairudsha+ interest juu
 
Maskini wote kozi zetu ni ualimu na Sayansi kozi za utawala tuwaachie watawala wenye nazo,nyie maskini mnachagua kozi za utawala,sheria ili mmtawale nani?
Nadhani ingekuwa njema zile za nani priority wangetoa mkopo hata kwa asilimia 30 tu

kuwa mwalimu si dhambi mtoto wa maskini hawezi kuwa ww shida unataka kwenda na gari chuo
 
kama umesoma masomo ya science sawa unaweza sema huwezi kusoma education, sasa ndugu kama utakua umesoma masomo ya arts alafu unasema hutaki education unataka ukasome law au? me nakuambia ukikaa mtaani mwaka mmoja bila ya kazi ndio utaanza kujutia kwanini hukusoma education wakati ulishauriwa! fikia mbeleni education ni kama daraja!
 
HAPANA kama huwezi kusoma mwaka huu, kwa vigezo kwamba hujapata mkopo au ukasome then uapppeal ukiwa chuo ni kwamba Under Principle of Presumption ni kwamba watajua wewe uwezo unao ndio maana vyuo kama Mzumbe usitegemee appeal kufanikiwa lakini pia soma lama za nyakat na mazingira ya ufaulu kwa mwaka husika kwa form 6 inakuwaje... Ahirisha mwaka then mwakani uobe upya,, sijari gharama ya Tsh 100000 maximum katika kuomba upya Tcu na HESLB
 
Wadau hii suala vip, serikali inalichuliaje, chuo pia kinalichukuliaje hili suala?
Zaidi ya 80% wanafunzi walioomba mkopo heslb na wakabahatika kuchaguliwa Mzumbe university tumekosa mkopo, Mfano BBA. PLM tulichaguliwa wanafunzi 103, ambao wamepewa mkopo ni 10 tu.
Pia BSEPD waliochaguliwa ni zaidi ya 100 waliopata mkopo ni wanafunzi 6 tu.
Je sisi watoto wa wakulima na masikini wa kutupwa tutaenda wapi? Ndo kusoma imetoka au la! Serikali inalizunguziaje hili? Mwisho naomba ushauri,
NIFANYE NINI ILI NISOME? USHAURI

Aseee ungechukua education mkuu.. BBA.PLM ni course ya washua mkuu.. na asilimia mkubwa ya wanafunzi wa mzumbe hawategemei boom
 
jaman hamna kitu kizuri kama lugha nzuri.,wote wangejaza priority hizo non priority nan angesoma..?jaribu kumpa moyo mtu na sio kumkejeli.asante.
 
umenishauri vizuri! But kusoma education sitaweza kabisa,

pole sana sasa kwa kuwa hutaki education fanya hivi wakusanye ndugu jamaa na marafiki wakuchangie ili usome maana kwa non priority mkopo sahau.Unajua tunakoelekea nadhani hii mikopo itakujafutwa kabisa.
 
Kipind niko advance nilikuwa naichukia education kama ebola baada ya kuhitim mwaka 2010 nilijichanganya nikaomba bprm saut na mkopo nilipata lakin kumbe nilikuwa cion mbali but baada ya kufika chuo nikagundua education ni njia tu ya kupitia kufika katika mafanikio hasa kwa watoto wa masikin nikaamua kubadilisha courz na kuhamia education saiz nimepata kaz najiandaa mwakan nichukue mkopo mil 10 nikasome master ileile ya bprm wale walosoma programe nyingine wanahangaika mtaan wengne wameeajiriwa kwenye mpesa wanataman hata wapate pesa wakasome pstgraduate in edu wapate ajira sasa wewe unaesema edu huwez kusoma nakushangaa unafikir nan anapenda kalaga bao.
 
Back
Top Bottom