FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Habari za kujengwa kwa mkongo wa taifa na kuanza kutumika zilikuwepo toka Kikwete akiwa anaingia madarakani. Pesa zikatolewa na ujenzi wa huo mkongo ukaanza kipindi kile kile. Mpaka leo hii ni hadithi tu za kusadikika kuhusu faida tulizohaidiwa. Ni sawa sawa na ule ujenzi wa bomba la gesi la Mtwara na faida zake. Ni upigaji mtupu.
Sasa leo tena tunasikia ujenzi wa mkongo wa taifa! Sijui tunarudia kujenga?
Muda usio mrefu tutasikia tena tunaanza ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara.
Napendekeza taa za mwanga barabarani na nyaya za simu zifungwe kwenye nguzo za umeme
Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno. Pia badala ya kusimika mistimu ya...