Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chips mayai kwani hazipo ulaya ?Kuuliza sio ujinga.
Naomba tuorodheshe vitu vilivyogunduliwa Bongo.
Ndio lipoWana zege?
Chips mayai kwani hazipo ulaya ?
Mi najua chips zimeanzia ufaransa ndio maana zinaitwa french flies
Mmh .kwanini mkuu ?Ulaya hakuna "Zege" ila chips zipo na mayai yapo
'Fries' mkuuChips mayai kwani hazipo ulaya ?
Mi najua chips zimeanzia ufaransa ndio maana zinaitwa french flies
Chips mayai kwani hazipo ulaya ?
Mi najua chips zimeanzia ufaransa ndio maana zinaitwa french flies
Kuuliza sio ujinga.
Naomba tuorodheshe vitu vilivyogunduliwa Bongo.
Nzi wa kifaransa.Chips mayai kwani hazipo ulaya ?
Mi najua chips zimeanzia ufaransa ndio maana zinaitwa french flies
Duh kumbe bongo raha sanaHakuna chips mayai nchi za ulaya mkuu sijui kwingineko duniani, had a friends from Europe wallahi walikuwa wakishangaa sana "zege" na walikuwa wakienjoy sana nikiwapeleka vijiwe vya zege, wengi walikili hawakuwahi kuexperience kitu kama hiko before.
Kuuliza sio ujinga.
Naomba tuorodheshe vitu vilivyogunduliwa Bongo.
Tatizo la uandishi mkuuNzi wa kifaransa.
(makande) made in TanzaniaKuuliza sio ujinga.
Naomba tuorodheshe vitu vilivyogunduliwa Bongo.
Duh kumbe bongo raha sana
Sa wao utamu wa zege hawaujui.
Mkuu kumbe kuna uwezekano vyakula vingi tunavyokula huku wao hawavijui na pia vyao vingi hatuvijui ?