wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Sidhani mi nadhani tanga
Nahisi limbwata limeanzia Nigeria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi limbwata limeanzia Nigeria
Hilo la joto la tochi ni mpyaa aisee,huenda unaijua wew tuAina mbali mbali za punyeto mfano punyeto ya nzi,punyeto ya joto la tochi
Kiepe ni chakula cha Mexico 🇲🇽Chips mayai kwani hazipo ulaya ?
Mi najua chips zimeanzia ufaransa ndio maana zinaitwa french fries
Nahisi limbwata limeanzia Nigeria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uvumbuzi uheshimiwe siku nikiwa sawa nitaleta aina za nyeto ambazo hazifamiki sana ili wanachama wapate radha mupyaHaha ***** chaputa wakupe uwenyekiti tu[emoji23] [emoji23]
French fries hazijagunduliwaa ufaransa licha ya hilo jina zimegunduliwa na kuanzishwa na kupewaa hlo jina toka belgiumChips mayai kwani hazipo ulaya ?
Mi najua chips zimeanzia ufaransa ndio maana zinaitwa french fries
Tanga hakuna Limbwata, Tanga kuna mahaba original yenye kumtoa nyoka pangoni, limbwata TaboraSidhani mi nadhani tanga
Walikiriwalikili
Tanga kuna Usinga. Ukitembea na mke wa mtu kama amewekewa Usinga unaweza kufa au utapata tabu sana.Tanga hakuna Limbwata, Tanga kuna mahaba original yenye kumtoa nyoka pangoni, limbwata Tabora
MaguKuuliza sio ujinga.
Naomba tuorodheshe vitu vilivyogunduliwa Bongo.
Zege ilianzia Latin AmericaWana zege?
Ndiyo TEGO hilo mkuu, "ugunduzi" wa Wazigua.Tanga kuna Usinga. Ukitembea na mke wa mtu kama amewekewa Usinga unaweza kufa au utapata tabu sana.
Unajua Tanzania zilianza liniChips mayai zipo sana tu. Mara ya kwanza mimi kula chips yai ilikuwa Lilongwe nchini Malawi, mwaka 1984