Zaidi ya chips mayai na limbwata ni kitu gani kingine kimegunduliwa Bongo

Half cake. Toka nitembee duniani sijakutana na hall cake zaidi ya Tanzania.
 
Kwa hiyo product ya limbwata, chips mayai, lebel yake imeandikwa made in Tanzania???.
 
Viwanda tuviwezee wapi? Nampongeza mkuu kwa kutuamuru tuzaliane kama vyura maana ndio kitu pekee tunachokiweza
 
Bongo tumegundua kuwa mtu anaweza kupigwa risasi 30 na bado asife ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…