peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nisamehe mkuu. Ila ujumbe umekufikia.Usinichafulie uzi
Dua mbaya mara nyingi inaletwa na ukosefu wa ubunifu vichwani mwetu.Watanganyika wataumizwa sana na lile likabrasha.
Breaking! TANESCO yashindwa kesi Marekani na kutakiwa kuilipa IPTL billioni 320!
Tutawaonesha hivyo hivyo hata kama wanachukia 🤣🤣Huku haters wanapita kimya kimya km 2000 za barabara lami hakuna rais aliyewahi kujenga kwa kipindi cha miaka minne tuu tangu tupate uhuru. Mama samia oyeeess
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mipango ya. barabara hizi,, mboma huwa atuoniipango ya batabara za Mkoa wa Kagera - hata vituo vikumbwa vya mabasi huwa havipo kwenye mipango ya Serikali je,hii ni nahati mbaya au kuna mikakati ambayo wana Kagera hatuijui - aingii akilini kwba karibu mikoa yote inakarabatiwa barabara zake save Mkoa wa Kagera!!! Strange don't you think??Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake.
Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering, Procurement, Construction and Finance) kwa gharama ya Tsh.Tilioni 3.8 ambapo miradi inatarajiwa Kukamilika ndani ya miaka 4 (2023-2027).
Akizungumza wakati wa kushuhudia kutiwa saini kwa mikataba hiyo Jijini Dodoma, Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa amesema kwamba, barabara hizo hazitokuwa za kulipia tozo kama wapotoshaji wanavyosema. Ikumbukwe hii haijawahi tokea toka Uhuru, walinda legacy mnafundishwa kazi.
My Take
Samia anawaonesha kwamba Private Sector inalipa kuliko Ujamaa mbuzi ambao baadhi ya watu wasiojielewa wanakumbatia.
Ndio maana hata kwenye Bandari anataka awafundishe namna ya kutumia rasilimali kwa manufaa ya watu badala ya kuhubiri propaganda za Uzalendo mbuzi na umaskini over years.
Hongera sana Mh. Rais, na Waziri wa Mbarawa Kwa Ubunifu,Historia itaandika jina lako kwa wino Mwekundu.
=====
MIRADI YA BARABARA ILIYOSAINIWA KWA UTARATIBU WA EPC + F
i) Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo;
ii) Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa;
iii) Barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalai – Bicha – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki;
iv) Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma;
v) Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale;
vi) Barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Sibiti River – Lalago – Maswa (km 339) inapita katika Mikoa ya Manyara, Simiyu, Singida na Arusha na inapita katika Majimbo ya Mbulu Mjini, Mbulu Vijijini, Karatu, Iramba Mashariki, Meatu, Maswa Mashariki na Kisesa; na
vii) Barabara ya Mafinga – Mtwango – Mgololo (km 81) inapita katika Mkoa wa Iringa na inapita katika Majimbo ya Mufindi Kusini na Mafinga.
Barabara haziwezi kuisha Leo Wala kesho.Tanzania tunahitaji Km ngapi za barabara za la lami ili maeneo yote ya nchi yaunganishwe na barabara za lami??
Utumiaji wa hizi barabara hautalipiwa sasa hawa Wachina wametupa msaada? Au ndio wameshapewa Selous wachimbe uranium yetu bure? Wenye access na hiyo mikataba embu someni mtufafanulie vizuri!!!
Unavyoona wewe ni sawa kabisa ndio hivyo hivyoKama Mbarawa Yuko kwenye hayo madili, mhhhh
Let's wait and see.
Kilometa 265 kwa trillion 1.13 mbona kama hela ndefu sana.
Zidisha hizo km mara 2 harafu ujue unazungumzia Barabara gani.Kilometa 265 kwa trillion 1.13 mbona kama hela ndefu sana.
Njaa ni mbaya ndg yangu kesho ukiwa Rais watasema hilo hilo tuna mijitu minafiki nchi hii acha tuWatu wanajua kupambaaa eti
Jina la Raisi samia litaandikwa kwa kalamu ya dhahabu
Inap
Barabara za mijini ni mahandaki tu. Ukifika Wilaya ya Nyamagana Mwanza,barabara ya kutoka Buhongwa- Kishiri- Igoma ni mahandaki. Barabara ya Kutoka Mkuyuni- Mahina- Kanyerer- Nyangulugulu- Mwatex ni mahandaki. Siungi Mkono hojaKwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake.