peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tatizo ni mpungaBarabara zote kuu za kwenda mikoani au hata nje ya nchi zinatakiwa kujengwa hivi👇 https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/LGBTPRIDEPILIPINAS/videos/895008471932003/
Sidhani kama mpunga ni tatizo kwa nchi hii!.... Kinachotukwaza ni matumizi mabaya ya pesa na vipaumbele vyenye viashiria vya ubinafsi.Tatizo ni mpunga
Jinga sana,ulichoweka ndio Barabara?
sio mashindano , Acha ziongezweKikwete alijenga nchi nzima!