Zaidi ya kuwa mkweli kupitiliza, Tundu Lissu ni mtu mcheshi, na mwenye mizaha. Wanahabari kufurahia kufanya naye mahojiano.

Daah I Wish Ningekuwa Namsikiaa 😭, Unaweza Kuweka Mahojiano Yake kwa Maandishi Nami Nielewe Kinachosemwa...
 
Hata mimi napenda sana kuangalia mahojiano ya Lissu, nafurahia namna anavyojibu maswali kwa ufafanuzi wa kina. Huwezi kubaki na maswali kwa anayoyaengelea.
sister Ukipata Muda Naomba Uandike Nyuzi Humu za Mahojiano Ya Lissu ili Nami niweze Kuelewaa , Nakuomba 🙏
 
sister Ukipata Muda Naomba Uandike Nyuzi Humu za Mahojiano Ya Lissu ili Nami niweze Kuelewaa , Nakuomba 🙏
Kupitia posts zako 2 hapa nimeelewa una shida ya kusikia, pole sana.

Nenda YouTube tafuta mahojiano yake na BBC yale huwa wanaweka na maandishi, mengine nitaangalia namna ya kukusaidia nikiweza.

Pole sana.
 
Waandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!
Kweli ww ni mtoto wa shule. Yaani umwite Lissu mpuuzi puuzi. Wewe ni fakeni kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…