Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

Aaaaah, kila lakheri bhana,

Kipendacho roho, Roho ndo ya kwako, nani atazuia???

BACK TANGANYIKA
 
Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Ushaambiwa kakae siti ya mbele cku ya harusi kila mtu anajisifia na kumsifia mpenz wake Wewe unatokwa povu la nn
 
Usipomtakia heli?????? Mungu atafanya yake, punguza wivu kama jamaa ako hajawahi kujisifu kuwa na ww jichunguze vizuri labda unagubu au vinginevyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .
Karambe malimao

=Heri
 

Sikutegemea kabisa kwa " ujanja " wote alionao Masanja angeingia " mkenge " kwa Demu wa kawaida sana kama huyo. Inapendeza mno Celeb nae akatafuta Demu Celeb au wa " nguvu " sana. Nilitaka niende katika Harusi yake ila kama " amenasa " kwa huyo sipotezi muda wangu.
 
Kawaida kwako...dhahabu kwa mwenzako.....
 
NINA HAKIKA UKIDHUBUTU KUMUANIKA WA KWAKO KASORO ZITAKUWA MARIDHAWA BIN LUKUKI...Perfection is all about perception.
 

Wewe unatafuta wa kuuza magazeti ya Shigongo, mwenzio anataka wa kuishi nae Na kujenga familia bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…