screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kwahiyo nawewe ni moja ya waliojisikia vibaya?Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo nawewe ni moja ya waliojisikia vibaya?Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Nani akuoe mnuka k wewemimi siolewi na mtu kama masanja hata kwa winchi
misifa majivuno muongo mnafiki
nampenda kwa kuchekesha tu
Daaah....Nani akuoe mnuka k wewe
Ushaambiwa kakae siti ya mbele cku ya harusi kila mtu anajisifia na kumsifia mpenz wake Wewe unatokwa povu la nnMisifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Usipomtakia heli?????? Mungu atafanya yake, punguza wivu kama jamaa ako hajawahi kujisifu kuwa na ww jichunguze vizuri labda unagubu au vinginevyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .
Karambe malimao
View attachment 365277 View attachment 365273 View attachment 365271
Katika kuwahabarisha watu wake na mashabiki wake,Masanja Mkandamizaji ameandika hivi katika mtandao wake
MBWEMBWE ZOOOOOOTE ZIMEISHIA KWA BINTI HUYU WA KISUKUMA HAKIKA KAWAZIDI WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTEEEEEEEEE
JAMANI KAMA ULIWAHIGI NIPENDA AU NILIWAHIGI KUKUPENDA BASI TUENDELEE KUOMBEANA MAANA HAPA NDO BREAK YA MBELE.
NAMPENDA MPAKA NASIKIA KIZUNGUZUNGU.
NAONA TAR 14 HAIFIKI
NATAMANI UKUMBINI MKAE SITI YA MBELE ILI USHUHUDIE MA STEP
ZAIDI YA MA MC 10 NIKIWEPO MIMI TUTAONGOZAAAAAAAAAAAAAAA TUKIO.
JAMANI KUSEMA UKWELI HAKA KA BINTI NAKAPENDA MWEEEEEH
KAMA HAUJAJISIKIA VIBAYA TUTAKIE KILA LA KHERI NA USIPOTUTAKIA MUNGU ATAFANYAAA
Kawaida kwako...dhahabu kwa mwenzako.....Sikutegemea kabisa kwa " ujanja " wote alionao Masanja angeingia " mkenge " kwa Demu wa kawaida sana kama huyo. Inapendeza mno Celeb nae akatafuta Demu Celeb au wa " nguvu " sana. Nilitaka niende katika Harusi yake ila kama " amenasa " kwa huyo sipotezi muda wangu.
NINA HAKIKA UKIDHUBUTU KUMUANIKA WA KWAKO KASORO ZITAKUWA MARIDHAWA BIN LUKUKI...Perfection is all about perception.Sikutegemea kabisa kwa " ujanja " wote alionao Masanja angeingia " mkenge " kwa Demu wa kawaida sana kama huyo. Inapendeza mno Celeb nae akatafuta Demu Celeb au wa " nguvu " sana. Nilitaka niende katika Harusi yake ila kama " amenasa " kwa huyo sipotezi muda wangu.
Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
mimi siolewi na mtu kama masanja hata kwa winchi
misifa majivuno muongo mnafiki
nampenda kwa kuchekesha tu
Sikutegemea kabisa kwa " ujanja " wote alionao Masanja angeingia " mkenge " kwa Demu wa kawaida sana kama huyo. Inapendeza mno Celeb nae akatafuta Demu Celeb au wa " nguvu " sana. Nilitaka niende katika Harusi yake ila kama " amenasa " kwa huyo sipotezi muda wangu.
Inabidi umfikishie mwaliko rafiki yako.utaolewa na mtu kama yupi???
mi nakumbuka aliwahi kumdate my friend sometimes back... by the way he is a good man