Zaidi ya Magaidi 100 wamekamatwa leo hii huko Jenin

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Watu wanaojihusisha na Ugaidi huko West-bank na huko Gaza zaidi ya 100 leo hii wametiwa nguvuni na kuhojiwa kutokana na vitendo vyao vya kigaidi wanavyovifanya katika miji mbalimbali huko West-Bank ikiwemo mji wa Jenin.

Operation hizi zimejiri huku majeshi ya Israel yakikaribia kuanza operation yao ya kuitwaa tena Gaza baada ya magaidi wa Hamas kuwang’ang’ania mateka waliowakamata Oct 07,2023 na wao kukataa kujisalimisha!!!

Your browser is not able to display this video.
 

Safi sana. Nadhani operation inaleta matunda mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…