Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Katika elimu ya namba Tundu Lissu anahesabika kuwa na mtetemo wa namba tisa (9) namba ambayo ina misukumo ya uanaharakati, utetezi wa haki na mabadiliko ya Jamii. Mtetemo wa namba tisa (9) humfanya mtu kuongozwa na kutafuta haki, kutohofia mapambano dhidi ya mifumo na maisha ya misukosuko.
Namba ya kesi yake ambayo ni (19605/2025) ikiwekwa kinumerolojia ni sawa na namba moja (1). Namba hii inaonesha mwanzo mpya/ kujisimamia ambapo tumeona upya wa mshtakiwa kujisimamia pekee.
Tarehe zote za kesi hii zimebeba namba zenye mitetemo inayoonesha ujenzi mkubwa wa mtetemo wa namba tisa (9) ambayo ni namba ya njia ya maisha ya Tundu Lissu kwa mfano ukiziangalia tarehe hizo zote kinumerolojia tangu kukamatwa kwake tarehe 9/4/2025 mpaka tarehe 23/9/2026 iliyotajwa kama tarehe ya wasilisho la mwisho (Final submission) utaona namba zinazojirudia sana ni (3,6,1).
Namba 3- Inagusa mitetemo ya sheria, haki na kupaza sauti (kusema/mazungumzo)
Namba sita (6) inagusa wajibu wa maamuzi mazito yanayoihusa Jamii, ni namba inayolazimisha ukweli ukae mahali pake(Hakika na mizania). Uhusiano wa namba 6 na 9 ( namba za kiroho na kiutu)
Namba tisa (9) inaashiria mwisho na mageuzi- hii inaashiria matokeo makubwa ya mabadiliko ya mfumo wa kisiasa na kisheria.