safi sana ila serikali ihakikishe na bei ya kujazia hizo cylinder inakuwa rafiki ili na wavijijini waweze kumudu hizo gharama na uchaguzi unakuwa huru na haki ukihusisha vyama vikuu vyenye nguvu ili atakayeshinda awe ameshinda kwa h
Na wale Mama zako wakubwa.... wewe hujui hata unachochangia hapa poleKumaanisha Mama yako alikufa kwa matumizi ya mkaa ? pole sn na Hongera kwa Bi tozo kuuokoa ukoo wenu usiendelee kuteketeketea..
Kazi na utuNa wale Mama zako wakubwa.... wewe hujui hata unachochangia hapa pole
Hii nchi inasikitisha sana. Kwa nini tunafurahia ukweli unapofichwa mchana KWEUPE.? Hawa wamama wanaogaiwa mitungi ya gesi leo ikiisha wataweza kujaza tena? Kwa sh 23,000.?? Kumbuka kiwa hiyo gesi inatoka Ukreni China au Urusi. Sisi tuna natural gas mabilioni ya cubic fiti za ujazo ambazo ni swala la uwekezaji mdogo tuu watanzania wanaweza kunufaika kwa kutumia gesi kwa bei ya chini ya sh 10,000 kwa mwezi. Kama nia ni njema kwa nini hilo lisifanyike kwa , maslahi , mapana ya nchi. Sipati picha na siwezi kuelewa. Labda kama akili yako iwe na tatizoRAIS Samia hata kama atagombea 2030 Mimi nitamchagua tena
KabisaKazi na utu
Etih uwekezaji mdogo wewe aliyokuambia kuwa ni uwekezaji mdogo huo!!! Kila kitu ni michakato na Tunaimani na Wizara ya Nishati wanaendela kuweka Miradi sawa na kuhakikisha hata walio vijijini sana wataweza kulipia Gas. Ila kwasababu wewe unamchango mdogo kwa hii nchi na huoni Maendeleo yaliyopigwa na serikali chini ya Rais wetu Samia basi kaa ukiwa mzigo kwa familiar yako na kukalilishwa mambo ya kijinga na watu wenye manufaa ya kushibisha matumbo yao kwa kisingizio cha kujiita upinzani kumbe wanatumika vibaya ili kuchafua Amani ya nchi yetu.Hii nchi inasikitisha sana. Kwa nini tunafurahia ukweli unapofichwa mchana KWEUPE.? Hawa wamama wanaogaiwa mitungi ya gesi leo ikiisha wataweza kujaza tena? Kwa sh 23,000.?? Kumbuka kiwa hiyo gesi inatoka Ukreni China au Urusi. Sisi tuna natural gas mabilioni ya cubic fiti za ujazo ambazo ni swala la uwekezaji mdogo tuu watanzania wanaweza kunufaika kwa kutumia gesi kwa bei ya chini ya sh 10,000 kwa mwezi. Kama nia ni njema kwa nini hilo lisifanyike kwa , maslahi , mapana ya nchi. Sipati picha na siwezi kuelewa. Labda kama akili yako iwe na tatizo