Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Kaazi kwelikweli!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.
Ni kuwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati hii ya Maadili hawataki kuwa historia ya kutenda uovu wa kumharass mtu ambaye ni kioo cha kujitizama pale Mali na fedha za umma zinapokwenda halijojo.
Wanataka kudhibitisha kwa umma kuwa wao sio dhaifu bali kiti ndio dhaifu.
Pia Bunge ndio linaazimia nani aitwe na sio kiti akitokea nyumbani au akipigiwa simu na huyo mbabe wake anatangaze mtu anaitwa.
Najua JF ni kubwa kuliko media yeyote nchini hivyo hakosi humu member hata mmoja wa hiyo kamati, atudhibitishie huo mtifuano jee una uhakika? Utazalisha nini,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni ajabu kuwa habari hii nimeinyaka na kutupia humu sasa majina yote machafu yangu.Hawawezi kabisa kufanya hivyo sababu, hata kama hawajali viti vyao kupokwa come 2020, wanaogopa kupotezwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Lissu anahutubia lini UN security council?
Ukisoma na kuchekecha mauzui ya hoja hapa Niko kuuliza na ndio maana ni TETESI. Lakini kwa vile wengi ni wajinga kama ufanyavyo, mnalsKwa nini mtu anakaa chumbani na kuanza utunzi kama huu hauna Kichwa wala miguu Na wengine wanaunga mkono bila kutafakari hata Kwa kiwango Cha chekechea!!!! Nasikitishwa Sana na kizazi cha sampuli hii
Kwa hiyo ni rahisi tu kujitoa kwenye kamati sababu, hata hivyo, wameshachoka ubunge. You have a good point!Mkuu ni ajabu kuwa habari hii nimeinyaka na kutupia humu sasa majina yote machafu yangu.
Nilichojua ni kuwa kuna kundi kubwa sana la wabunge hawana mpango wa kugombea tena baada ya kuona ubunge sasa haulipi kama zamani ambapo watu walikuwa wanatumia pesa nyingi ili kupata ubunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote dhaifuMimi sijaelewa hapo vizuri.inamaana bunge ndo dhaifu au spika ni dhaifu?.naomba kueleweshwa jamani
Yes . Ila nani wengine wenye udhubutu huo?Japo ana control wapo wabunge waliojiuzulu nafasi za ujumbe kwenye kamati za bunge.
Hawa Ghasia ni mfano mmojawapo ambae alijiuzulu uenyekiti wa kamati ya bajeti
Japo ana control wapo wabunge waliojiuzulu nafasi za ujumbe kwenye kamati za bunge.
Hawa Ghasia ni mfano mmojawapo ambae alijiuzulu uenyekiti wa kamati ya bajeti
Kwa hiyo akae kimya tuSpika nilimuonya kuhusu hii issue kupitia hapa JF.
Spika Ndugai,soma alama za nyakati yasije kukukuta yaliyomkuta aliekuwa Boss wa SSRA - JamiiForums
propaganda za zamani sanaWanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.