Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...kwanini mnaandika taarifa za upotoshaji kiasi hiki?Wanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.
Ni kuwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati hii ya Maadili hawataki kuwa historia ya kutenda uovu wa kumharass mtu ambaye ni kioo cha kujitizama pale Mali na fedha za umma zinapokwenda halijojo.
Wanataka kudhibitisha kwa umma kuwa wao sio dhaifu bali kiti ndio dhaifu.
Pia Bunge ndio linaazimia nani aitwe na sio kiti akitokea nyumbani au akipigiwa simu na huyo mbabe wake anatangaze mtu anaitwa.
Najua JF ni kubwa kuliko media yeyote nchini hivyo hakosi humu member hata mmoja wa hiyo kamati, atudhibitishie huo mtifuano jee una uhakika? Utazalisha nini,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndungai inabidi asachiwe wakati anaingia kwenye hicho kikao maana hachelewi kuingia na bakora akamtandika CAGHebu wajiuzulu abaki Ndugai peke yake,wamuache amhoji CAG akiwa peke yake.
Wanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.
Ni kuwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati hii ya Maadili hawataki kuwa historia ya kutenda uovu wa kumharass mtu ambaye ni kioo cha kujitizama pale Mali na fedha za umma zinapokwenda halijojo.
Wanataka kudhibitisha kwa umma kuwa wao sio dhaifu bali kiti ndio dhaifu.
Pia Bunge ndio linaazimia nani aitwe na sio kiti akitokea nyumbani au akipigiwa simu na huyo mbabe wake anatangaze mtu anaitwa.
Najua JF ni kubwa kuliko media yeyote nchini hivyo hakosi humu member hata mmoja wa hiyo kamati, atudhibitishie huo mtifuano jee una uhakika? Utazalisha nini,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...kwanini mnaandika taarifa za upotoshaji kiasi hiki?
Mnanufaika na nini?
In fact njia hiyo itaipa hadhi Bunge kama Bunge na kumaliza mzozo huu kati ya CAG na Bunge na kulifanya tatizo kuwa la Ndungai kama Mbunge.
Wakijitoa wasahau Ubunge 2020
ACHA UMBEA WEWE MLETA HABARI HUNA UHAKIKAWanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.
Ni kuwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati hii ya Maadili hawataki kuwa historia ya kutenda uovu wa kumharass mtu ambaye ni kioo cha kujitizama pale Mali na fedha za umma zinapokwenda halijojo.
Wanataka kudhibitisha kwa umma kuwa wao sio dhaifu bali kiti ndio dhaifu.
Pia Bunge ndio linaazimia nani aitwe na sio kiti akitokea nyumbani au akipigiwa simu na huyo mbabe wake anatangaze mtu anaitwa.
Najua JF ni kubwa kuliko media yeyote nchini hivyo hakosi humu member hata mmoja wa hiyo kamati, atudhibitishie huo mtifuano jee una uhakika? Utazalisha nini,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yule bwana mzungu anayeishi naye anamruhusu?Cyprian musiba hapati usingizi kutwa anashinda kwa waganga wa kienyeji
Siyo Yahya tu pia mama yako.