Tetesi: Zaidi ya Nusu Wajumbe Kamati ya Maadili Kujiuzulu Kabla ya 21/1


kamati ya maadili inaweza kubadilishwa jina kuitwa kamati ya wadhaifu.
labda hili wanaogopa kuchekwa mbeleni na mafao ya nssf ya kikokotoo
 
Hawawezi kabisa kufanya hivyo sababu, hata kama hawajali viti vyao kupokwa come 2020, wanaogopa kupotezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni ajabu kuwa habari hii nimeinyaka na kutupia humu sasa majina yote machafu yangu.
Nilichojua ni kuwa kuna kundi kubwa sana la wabunge hawana mpango wa kugombea tena baada ya kuona ubunge sasa haulipi kama zamani ambapo watu walikuwa wanatumia pesa nyingi ili kupata ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mtu anakaa chumbani na kuanza utunzi kama huu hauna Kichwa wala miguu Na wengine wanaunga mkono bila kutafakari hata Kwa kiwango Cha chekechea!!!! Nasikitishwa Sana na kizazi cha sampuli hii
Ukisoma na kuchekecha mauzui ya hoja hapa Niko kuuliza na ndio maana ni TETESI. Lakini kwa vile wengi ni wajinga kama ufanyavyo, mnals
aumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ni rahisi tu kujitoa kwenye kamati sababu, hata hivyo, wameshachoka ubunge. You have a good point!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweza kuwa na utashi huo, lakini kwa mfumo wa siasa zetu, ambapo wabunge hawana Uhuru zaidi ya kupangiwa la kusema bungeni na chama, ni vigumu.
 
Mchanganyiko wa kisukari na kale ka ugonjwa ka kumeza njugu ni hatari sana. Mtu akili inafubaa, kazi yake ni kupokea amri bila kuzichuja.
 
propaganda za zamani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo ana control wapo wabunge waliojiuzulu nafasi za ujumbe kwenye kamati za bunge.
Hawa Ghasia ni mfano mmojawapo ambae alijiuzulu uenyekiti wa kamati ya bajeti


Hawa Abdulrahman Ghasia huwa anapenda kusimamia anachokiamini bila ya kujalisha kiko sahihi Au laaa!
Alikoswa koswa kufukuzwa Mzumbe Na alikuwa tayari kufukuzwa Chuo Kuliko kubadili Msimamo , kuna faida Na HASARA ya Kuwa Na tabia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…