Tetesi: Zaidi ya Nusu Wajumbe Kamati ya Maadili Kujiuzulu Kabla ya 21/1

Cyprian musiba hapati usingizi kutwa anashinda kwa waganga wa kienyeji
 
Aisee...kwanini mnaandika taarifa za upotoshaji kiasi hiki?
Mnanufaika na nini?
 
Hebu wajiuzulu abaki Ndugai peke yake,wamuache amhoji CAG akiwa peke yake.
Ndungai inabidi asachiwe wakati anaingia kwenye hicho kikao maana hachelewi kuingia na bakora akamtandika CAG
 

In fact njia hiyo itaipa hadhi Bunge kama Bunge na kumaliza mzozo huu kati ya CAG na Bunge na kulifanya tatizo kuwa la Ndungai kama Mbunge.
 
In fact njia hiyo itaipa hadhi Bunge kama Bunge na kumaliza mzozo huu kati ya CAG na Bunge na kulifanya tatizo kuwa la Ndungai kama Mbunge.

Usikute magufuli kanusa ufujaji wa pesa ofisi ya Bunge lakini anaona Aibu kumkamata Spika kaamua kutengeneza uchonganishi kisayansi ili CAG akasirike akague hesabu za Ofisi ya Bunge na Ndungai apelekwe keko.
 
Wakijitoa wasahau Ubunge 2020

Ujue 2020 CCM yenyewe ni bye bye Duniani kote wanajiandaa kuja kufuta mbinu za uchakachuaji wa CCM hawataiba kura tena kuna dawa za kuwadhibiti zipo jikoni zinapikwa.
 
ACHA UMBEA WEWE MLETA HABARI HUNA UHAKIKA
 
Usitulishe matango pori,sisi tupo na CAG lazima aje mbele ya Kamati yetu ajieleze kwa nini amelidhalilisha Bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…