Zaidi ya shilingi milioni 365 zimekopeshwa kwa wanafasihi na lugha

Zaidi ya shilingi milioni 365 zimekopeshwa kwa wanafasihi na lugha

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 365 ZIMEKOPESHWA KWA WANAFASIHI NA LUGHA

Mfuko wa uwezeshaji wa mikopo ya kisekta kupitia mfuko wa Utamaduni na Sanaa umewezesha miradi 23 yenye thamani ya Shilingi milioni 365.7 katika eneo la Lugha na Fasihi ambapo miradi iliyowezeshwa ni uchapishaji wa vitabu 6,000 vyenye maudhui ya mada mbalimbali kama vile hadithi za watoto, vitabu vya ziada, vitabu vya kutoa elimu ya jamii, maudhui ya historia ya matukio ya kale, ngonjera na mashairi.

Aidha mfuko umewezesha kampuni 13 za uchapishaji wa vitabu, tisheti n.k
 

Attachments

  • 20250313_093029.jpg
    20250313_093029.jpg
    93.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom