Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Umepata taarifa za kiasi cha mafuta yaliyogunduliwa Namibia? Kama ni kuhusu maeneo yenye volcano mbona hata sisi Tanzania tuna ukanda huo northern circuit yote ni ukanda wa volcano.Mkuu acha utani, America IPO kwenye maeneo ya volcano Sasa anakosa vipi rasilimali. Marekani wa 4 kwa uzalishaji wa natural gas, hakuna nchi Afrika inayomzidi Mafuta, Ardhi ya kutosha, rare earth elements za kutosha Sasa mkuu kipi huelewi.
Wewe umekunywa maji ya bendera ya marekani mtu hawezi kukwambia kitu ukamuelewa.Tupe ushahidi vinginevyo ni porojo tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
......... Wewe umekunywa ya bendera ya wapi Russia, Iran au China..⁉️Wewe umekunywa maji ya bendera ya marekani mtu hawezi kukwambia kitu ukamuelewa.
That is not a deal, USA ni nchi ya 4 kwa ukubwa wa eneo duniani, Ina watu educated kuliko nchi yoyote Dunia Sasa unataka ulingane nao. Visiwa vya Hawaii ni utajiri, Jimbo la Arizona ni utajiri mkubwa Sasa kipi unapinga mkuu. Kwa ufupi kwa upande wa rasilimali US ni ya pili nyuma ya Russia shida ya Russia akili hawana ndiyo maana wapo nyuma kama jamaa zao Irani.Umepata taarifa za kiasi cha mafuta yaliyogunduliwa Namibia? Kama ni kuhusu maeneo yenye volcano mbona hata sisi Tanzania tuna ukanda huo northern circuit yote ni ukanda wa volcano.
Sikushangai kwa kuwa na ufahamu finyu, ukisoma huelewi basi hata picha huoni?Tupe ushahidi vinginevyo ni porojo tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
Utasikia Tanznaia ni Tajiri sana tuna Madini ,waambieni wakuoneshe sana ni vituko 😂😂😂😂Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.
Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.
Over 2 billion tons of rare Earth mineral found in US could make country the new 'world leader'
The discovery has the potential to make the US a world leader in rare Earth mineralswww.unilad.com
Mkuu watu wengi hawajui Sasa ukimwambia ukweli wanakuja juu. Utasikia Amerika anatunyonya mara Wazungu wanatunyonya waulize kati ya mzungu na mchina nani anayefanya biashara zaidi na Afrika wanakaa kimyaa. Afrika hakuna nchi inayoikaribia USA kwa natural resources. Ukiwatoa Congo DRC, South Africa na Algeria mataifa yaliyobaki ni ujuaji na ukosefu wa akili ndiyo utajiri wetu. Kama mafuta Marekani anayo, Ardhi anayo ya kutosha, REE ndiyo hizo za kutosha amepata na zingine alikuwa nazo kitambo. Ila utasikia Wazungu wanatunyonya.Utasikia Tanznaia ni Tajiri sana tuna Madini ,waambieni wakuoneshe sana ni vituko 😂😂😂😂
Utajiri wa Tanzania ni kulima tuu ndiko tutapata hela
Waafrika Hawaibiwi, Watawala waliopo ndio wezi, wanaingia mikataba hata hawielewi, wanalipwa wao, kisha wanatuambia tunaibiwa. Mikataba mibovu hatushurutishwi ku sign, sasa sijui tunaibiwaje?.Marekani usiwaamini sana, wanajitengenezea mazingira ya kuiibia Afrika kiulaini.
Pia kuna mashamba yakilimo ya kutishaKuna watu huwa wanaangalia movie wanahisi Marekani hakuna ardhi ya kuchimba madini, wanadhani Marekani ni maghorofa na mabarabara tu kila kona.
Unaweza kuwa nazo na bado ukaona kama hazikutoshi hivi, ndiyo sababu ya kuendelea kutamani rasilimali za wengine ili kujilimbikizia zaidi.Mkuu watu wengi hawajui Sasa ukimwambia ukweli wanakuja juu. Utasikia Amerika anatunyonya mara Wazungu wanatunyonya waulize kati ya mzungu na mchina nani anayefanya biashara zaidi na Afrika wanakaa kimyaa. Afrika hakuna nchi inayoikaribia USA kwa natural resources. Ukiwatoa Congo DRC, South Africa na Algeria mataifa yaliyobaki ni ujuaji na ukosefu wa akili ndiyo utajiri wetu. Kama mafuta Marekani anayo, Ardhi anayo ya kutosha, REE ndiyo hizo za kutosha amepata na zingine alikuwa nazo kitambo. Ila utasikia Wazungu wanatunyonya.
Na naamini madini yapo mengi tu, ila hawayachimbi. Kwanini waharibu mazingira ikiwa wanaweza kuyapata kwa urahisi Afrika, amabako hawana matumizi na hayo madini. Afrika bado tunavaa vito shingoni na vidoleni, hatujui matumizi mengine ya madini zaidi ya urembo.Pia kuna mashamba yakilimo ya kutisha
Mimi sijaongelea Russia, Iran au China......... Wewe umekunywa ya bendera ya wapi Russia, Iran au China..⁉️
Mbona hujaongelea hizo nchi zenye ukubwa namba 1 mpaka namba 3That is not a deal, USA ni nchi ya 4 kwa ukubwa wa eneo duniani, Ina watu educated kuliko nchi yoyote Dunia Sasa unataka ulingane nao. Visiwa vya Hawaii ni utajiri, Jimbo la Arizona ni utajiri mkubwa Sasa kipi unapinga mkuu.
Wewe umeshindwa Nini kitengeneza kondom zako?Kwa utitiri wa madini waliyo nayo kama. Ni kweli wanayo pasingekuwa na haja ya kutupia condoms wao wachukue madini yetu.
Vita vyote wanazozipiga Nchi za uarabuni lengo waibe mafuta maana hawana Kila kitu.
Sioni ulazima wa kwenda kuwa watu Kisha kupora Mali zao Ili Hali nawewe unazo tele.
Tupe USHAHIDI kama uliwahi chimba dhahabu,Almasi au hata ulanga tu pale USA
Nikuonyeshe sufuria ya mbao.
Hongera Marekani neemeka ili uendelee kukabiliana na magaidi ya Kiislamu
Na hamna kitu mtaona nyie! Hakyamungu