Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

Mkuu acha utani, America IPO kwenye maeneo ya volcano Sasa anakosa vipi rasilimali. Marekani wa 4 kwa uzalishaji wa natural gas, hakuna nchi Afrika inayomzidi Mafuta, Ardhi ya kutosha, rare earth elements za kutosha Sasa mkuu kipi huelewi.
Umepata taarifa za kiasi cha mafuta yaliyogunduliwa Namibia? Kama ni kuhusu maeneo yenye volcano mbona hata sisi Tanzania tuna ukanda huo northern circuit yote ni ukanda wa volcano.
 
Umepata taarifa za kiasi cha mafuta yaliyogunduliwa Namibia? Kama ni kuhusu maeneo yenye volcano mbona hata sisi Tanzania tuna ukanda huo northern circuit yote ni ukanda wa volcano.
That is not a deal, USA ni nchi ya 4 kwa ukubwa wa eneo duniani, Ina watu educated kuliko nchi yoyote Dunia Sasa unataka ulingane nao. Visiwa vya Hawaii ni utajiri, Jimbo la Arizona ni utajiri mkubwa Sasa kipi unapinga mkuu. Kwa ufupi kwa upande wa rasilimali US ni ya pili nyuma ya Russia shida ya Russia akili hawana ndiyo maana wapo nyuma kama jamaa zao Irani.
 
Tupe ushahidi vinginevyo ni porojo tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
Sikushangai kwa kuwa na ufahamu finyu, ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

Kawaulizee Gen Z kenya kamuulize na Ibrahim Traore huko Afrika ya Magharibi, muulize na Mugabe.

Unafahamu kuwa kwa nguvu ya teknolijia, sasa hivi unaweza kuwauliza hata marehemu?
 
Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.

Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.

Utasikia Tanznaia ni Tajiri sana tuna Madini ,waambieni wakuoneshe sana ni vituko 😂😂😂😂

Utajiri wa Tanzania ni kulima tuu ndiko tutapata hela
 
Utasikia Tanznaia ni Tajiri sana tuna Madini ,waambieni wakuoneshe sana ni vituko 😂😂😂😂

Utajiri wa Tanzania ni kulima tuu ndiko tutapata hela
Mkuu watu wengi hawajui Sasa ukimwambia ukweli wanakuja juu. Utasikia Amerika anatunyonya mara Wazungu wanatunyonya waulize kati ya mzungu na mchina nani anayefanya biashara zaidi na Afrika wanakaa kimyaa. Afrika hakuna nchi inayoikaribia USA kwa natural resources. Ukiwatoa Congo DRC, South Africa na Algeria mataifa yaliyobaki ni ujuaji na ukosefu wa akili ndiyo utajiri wetu. Kama mafuta Marekani anayo, Ardhi anayo ya kutosha, REE ndiyo hizo za kutosha amepata na zingine alikuwa nazo kitambo. Ila utasikia Wazungu wanatunyonya.
 
Unaweza kuwa nazo na bado ukaona kama hazikutoshi hivi, ndiyo sababu ya kuendelea kutamani rasilimali za wengine ili kujilimbikizia zaidi.
 
That is not a deal, USA ni nchi ya 4 kwa ukubwa wa eneo duniani, Ina watu educated kuliko nchi yoyote Dunia Sasa unataka ulingane nao. Visiwa vya Hawaii ni utajiri, Jimbo la Arizona ni utajiri mkubwa Sasa kipi unapinga mkuu.
Mbona hujaongelea hizo nchi zenye ukubwa namba 1 mpaka namba 3
 
Kwa utitiri wa madini waliyo nayo kama. Ni kweli wanayo pasingekuwa na haja ya kutupia condoms wao wachukue madini yetu.

Vita vyote wanazozipiga Nchi za uarabuni lengo waibe mafuta maana hawana Kila kitu.

Sioni ulazima wa kwenda kuwa watu Kisha kupora Mali zao Ili Hali nawewe unazo tele.

Tupe USHAHIDI kama uliwahi chimba dhahabu,Almasi au hata ulanga tu pale USA

Nikuonyeshe sufuria ya mbao.
 
Wewe umeshindwa Nini kitengeneza kondom zako?
 
Back
Top Bottom