deadline vipi? ilikuwa lini... na ni kazi za aina gani? wamesha itwa kazini?Hii habari ni ya ukweli, nathibitisha cz kuna ndugu yangu kapeleka vyeti vyake na walitoa ajira kimya kimya, ili watu wasijue, na ni nyingi sana,
Pepo La Roho Mbaya LikutokeHuwa nafurahi sana taarifa za Mtumishi wa Umma kufukuzwa kazi. Mtu akiwa serikalini anajionaga mungu sana.
AminaPepo La Roho Mbaya Likutoke
Duuhhh una roho km bashiteHuwa nafurahi sana taarifa za Mtumishi wa Umma kufukuzwa kazi. Mtu akiwa serikalini anajionaga mungu sana.
Halafu bado kuna watu wanaamini hiyo ni serikali ya wanyonge.!Hizi party za kimya kimya, kama huna mtu wa kuunganishia, utaishia kuzurula na vyeti vyako na zipo nyingi sana hizi party hata TTCL nao kimya kimya, hawatangazi nafasi ila bado wanaajiri watu kimya kimya.
sawa sawaDeadline ilikuwa ni jumanne,mle kuna makarani,data entry,uokozi nk, kuhusu kuitwa sijajua bado mkuu.
Wamekuwa na tabia ya kujuzana wenyewe kwa wenyewe ndani ya organization so kama huna unaemjua utabaki na unachokijua.Hizi party za kimya kimya, kama huna mtu wa kuunganishia, utaishia kuzurula na vyeti vyako na zipo nyingi sana hizi party hata TTCL nao kimya kimya, hawatangazi nafasi ila bado wanaajiri watu kimya kimya.
shukran...Pole mkuu.