Tetesi: Zaidi ya wafanyakazi 600 yawakuta TPA......

Mkuu kuna wengine walipigiwa simu wakiwa safarini wakashuka wakarudi Dar fasta kuja kupeleka maombi.
Aiseeeee....! haya mambo haya ya kushitukiza ni ktk makontena tu??? huku hakuusiki kabisaaa
 
ZA KUNYAPIA NYAPIA NA ZA UHAKIKA KUTOKA KWA WATU WANGU WAKARIBU HUKO BONDENI NI KWAMBA HAKUKALIKI ZAIDI YA WAFANYAKAZI 600 WAMEPIGWA CHINI KIMYA KIMYA NA WANAPIGWA CHINI KWA AWAMU ILI KUTOATHIRI UFANYAJI KAZI NA SHUHULI ZA BANDARI

HABARI ZINAELEZA KUWA WANAONDOLEWA KWA MAKUNDI ALAFU WANAAJIRIWA WAPYA ILI WAJIFUNZE WAKIZOEA ,WENGINE WANAFUKUZWA TENA KISHA WANAAJIRIWA WAPYA NA MPANGO UNAENDA KWA AWAMU NA KUNA WALIOPO KAZINI WASHAPATA HABARI YAO NA WENGINE HAWAJUI ILI KUTOATHIRI SHUHULI ZA BANDARI

HIVYO MAJAMAA KUEPUKA LILE NYOMI LA TRA WAKAAMUA KUTANGAZA HIZO AJIRA KIMYA KIMYA YANI WALIOPO NDANI PEKEE NDIO WALIOKUWA WANAJUA HIVYO WAKAHABARISHANA

NA WALIKUWA WANA HARAKA KUHITAJI WATU MAANA HATA CV HAWAKUZITAKA WALIKUWA WANATAKA COPY ZA VYETI TUU NA SIO KINGINE, NA WALITOA MASAA 48 TU KUPELEKA COPY ZA VYETI
 
Kuna mdau aliuliza wameshaanza kuitwa wale waliopeleka vyeti?
 
Dah hizi rizko wanaoiga kimya kimya tu. Dah huu mchezo sio.
 
Huwa nafurahi sana taarifa za Mtumishi wa Umma kufukuzwa kazi. Mtu akiwa serikalini anajionaga mungu sana.
Sio wote labda mabushman,maprimitive waliotokea interior wengi huwa na PhD za roho mbaya ukivaa shati mpya wananuna.
 
Siku nyigine muwe mnaleta taarifa mapema.
Mkuu kuna wafanyakazi wa makampuni mengine ambayo yamo ndani ya TPA ambao pia wamekuwa wakitamani kuajiriwa na mamlaka lakini walikuja kujua siku ya mwisho ya kuleta vyeti tena wakiwa kazini,so unafikiri nani anaumia zaidi wewe ulie mbali au huyu wajikoni?
 
Back
Top Bottom