Tetesi: Zaidi ya wafanyakazi 600 yawakuta TPA......

Dah hizi rizko wanaoiga kimya kimya tu. Dah huu mchezo sio.
HAWA JAMAA NI WASANII SANA INAKUWAJE AJIRA ZA WATU KARIBIA 600 UTANGAZE KIMYA KIMYA TENA KWA MAMLAKA KUBWA KAMA YA BANDARI KUNA NINI KINAENDELEA?

SIO YALE YALE YA KUPACHIKANA NDUGU?

HABARI ZAIDI ZINAELEZA KUWA HUU MCHONGO ULIKUWA NI MAALUM KUFUKUZA WALIOFOJI VYETI, WASIOKUWA NA VYETI KABISA, WALE WAZEE WA MDA MREFU, HIVYO BAADA YA VARANGATI LA UHAKIKI KUPITA IKAJULIKANA KUWA WENGI HAWANA VYETI NA WENGINE WALIFOJI

HIVYO KUTOKANA NA KAULIMBIU YA MKULU KILA MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE, WAKAANZA KUPUKUTISHWA KAZINI KWA KASI YA AJABU

HIVYO MAMLAKA IKABIDI IAJIRI HARAKA HARAKA, NA VIBARUA NDIO WALIKUWA CHAGUO LA KWANZA NA INASEMEKANA WAO NDIO WALIOTOA SIRI KWA WATU WENGINE HASA KWA WAHITIMU WALIOMALIZA CHUO CHA BANDARI
 
Wamekuwa na tabia ya kujuzana wenyewe kwa wenyewe ndani ya organization so kama huna unaemjua utabaki na unachokijua.
Usikate tamaa lkn still wengi wamepata bila connection
 
Dah hapa undugu umetumika sana. Watakaojazana kwenye hizi nafasi ni ndugu walioshtuliwa na ndugu zao waliopo bandari.
Ila taasisi kubwa kama bandar ifanye hili jambo kwa siri kweli...?
Au ndio yale wameshaajiri watu kisirisiri alaf baadae ndio wanatangaza nafasi za kazi kisanii...? Huu si uhuni uliotukuka
 
Kweli si jambo poa ila ndio limeshatokea mkuu.
 
Dah habari za hivi Huwa zinanifanya moyo wangu upate simanzi sana jamani watu tunastruggle kweli tafuta kazi lakini unakuja pata habari kama hizi kwa kweli lazima upate maumivu makali

Wapambanaji wenzangu tusikate tamaa tuendelee pambana Nina amini ipi siku tutapata kazi Na kuachana Na hii kadhia

Mungu awabariki
 
Tunaendelea kusongesha harakati wakuu. Tunasongesha mwanzo mwisho, hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke. Hata kama hali ndio hii.
 
...... Ndo hili tangazo walibandika pale Mlangoni mwisho ilikuwa j4 iliyopita.
IMG-20180528-WA0007.jpg
 
Dah habari za hivi Huwa zinanifanya moyo wangu upate simanzi sana jamani watu tunastruggle kweli tafuta kazi lakini unakuja pata habari kama hizi kwa kweli lazima upate maumivu makali

Wapambanaji wenzangu tusikate tamaa tuendelee pambana Nina amini ipi siku tutapata kazi Na kuachana Na hii kadhia

Mungu awabariki
Dah umeandika kwa hisia sana mkuu,pole sana kiongozi kila jambo lina mwisho wake so huo ugumu wa maisha utakuja kuwa ni kumbukumbu tu.
 
Hizi party za kimya kimya, kama huna mtu wa kuunganishia, utaishia kuzurula na vyeti vyako na zipo nyingi sana hizi party hata TTCL nao kimya kimya, hawatangazi nafasi ila bado wanaajiri watu kimya kimya.
Kama huna mtu wa ndani utasikilizia kwenye kopo tu.
 
Wamekuwa na tabia ya kujuzana wenyewe kwa wenyewe ndani ya organization so kama huna unaemjua utabaki na unachokijua.
Huwa wanaajiri kwanza alafu baadae kwa kuzuga wanakuja kutangaza nafasi za ajira wkt zile nafasi zina watu tayari.

Mnashangaa wanatokea watu wengi wameitwa interview alaf anachukuliwa mmoja tu. Kumbe dili lilioangwa siku nyingo sana.
 
Haya mambo yanaumiza sana ndugu zangu ujue tunaomba kazi kila siku tunakesha kwenye mitandao lakini hauitwi hata interview tu wakati huo huo wenzako wanapata kazi

Hapa ndio Huwa napata kigugumizi inamana mimi Sina vigezo kiasi hiki au kuna mahali nakosea

Kuna siku niliamua wasiliana Na wahusika CV people maana ninaomba sana kazi kwenye website yao lakini hata interview tu sijawahi itwa jamaa wakasema niwasiliane Na ofisi zao ambazo zipo dar es salaam, dah niliumia sana nikaamua achana tu na hili Jambo

Lakini kwa kweli waajiri mnatupa stress sana tuiteni tu hata interview kama tutakosa tukose huko mbele lakini sio kuwekana kindugu nafasi zinatangazwa alafu zinaishia juu juu

......
 
Aisee
 
Back
Top Bottom